Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

Hivi imekuaje unaanza kuwaza hayo mambo ya ungekuwa mwanamke? Najaribu kuainisha vitu ulivyoorodhesha hapo naona kabisa kuna kitu hakiko Sawa kwako ni vile tu umeshindwa kusema umeamua uje kivingine.
Ulaya kuna service za transgender unaweza kupambania mkuu ukatoboa
 
Nyeto sio dhambi kabisa, n jambo jema kwa kila binadamu mwenye akili timamu 😎
Hahaha 😂, umenikumbusha jinsi jamaa yangu mmoja alivyokuwa na ustadi wa kurusha bao kwa umbali wa hatua takribani tano huku amefunga macho kwa hisia Kali akimwaza Ester 😅.
 
Back
Top Bottom