Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

Ndiyo bado toto wewe. Unaona sasa mpaka mnaulizwa ungekuwa Ke je? Haya mjibu mwenzako.

secretarybird sijui ungesema nani ni handsome humu jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana bado anakihoro kuwa wanaume wa JF wanakataa kuwa yeye ni HB.
Kwahiyo tuweke nafsi zetu kama wanawake alaf tumuangalie kama ni HB kweli

Dah!
 
Hivi imekuaje unaanza kuwaza hayo mambo ya ungekuwa mwanamke? Najaribu kuainisha vitu ulivyoorodhesha hapo naona kabisa kuna kitu hakiko Sawa kwako ni vile tu umeshindwa kusema umeamua uje kivingine.
Ulaya kuna service za transgender unaweza kupambania mkuu ukatoboa
 
secretarybird sijui ungesema nani ni handsome humu jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana bado anakihoro kuwa wanaume wa JF wanakataa kuwa yeye ni HB.
Kwahiyo tuweke nafsi zetu kama wanawake alaf tumuangalie kama ni HB kweli

Dah!
Hahaha πŸ˜‚, kwa leo naomba nisiongee chochote maana nitaharibu 🀣.
 
Nyeto sio dhambi kabisa, n jambo jema kwa kila binadamu mwenye akili timamu 😎
Hahaha πŸ˜‚, umenikumbusha jinsi jamaa yangu mmoja alivyokuwa na ustadi wa kurusha bao kwa umbali wa hatua takribani tano huku amefunga macho kwa hisia Kali akimwaza Ester πŸ˜….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…