Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

Hahaha πŸ˜‚, umenikumbusha jinsi jamaa yangu mmoja alivyokuwa na ustadi wa kurusha bao kwa umbali wa hatua takribani tano huku amefunga macho kwa hisia Kali akimwaza Ester πŸ˜….
Dah jamaa hatak kuona watoto wake wakilia πŸ™Œ
 
Ungalikuwa kuwetu kubuganda kwa umurais wise mukulu yoweri kaguta museveni ungalidie on the spot ulipopost bya post yako. Wewe ni shoga pro max
 
Kuna mstari Nikki mbishi anasema 'mwamba kachange jinsia kawa transgender..imebidi niukumbukeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
huoni haya kuongea vitu usivyo na uhaika navyo?
Wewe kijuso, haya niwe nayo mimi? Haya uwe nayo wewe, mtoto mchele mchele. Kaza wa kiume wewe, kuna nati imelegea si bure.
 
Wewe kijuso, haya niwe nayo mimi? Haya uwe nayo wewe, mtoto mchele mchele. Kaza wa kiume wewe, kuna nati imelegea si bure.
kuna visichana vyenzio vilitaka ligi vimesanda, I feel sorry for you. ask the Mshangazi Kapeace the single mother, sura ya babu Leejay49 and failed tomboy cocastic. am too hadsome to date you.
 
Ningekuwa bikira, maana mambo yangekuwa kinyume na ninavyofanya sasa
 
Andiko la kipumbavu!
 
kuna visichana vyenzio vilitaka ligi vimesanda, I feel sorry for you. ask the Mshangazi Kapeace the single mother, sura ya babu Leejay49 and failed tomboy cocastic. am too hadsome to date you.
Uzi wako umedoda, naona unanitag ili niuchangamshe. Sorry shost km mabazazi ya JF wamekukataa Polee, hamia hata Romeo huko utapata hitaji lako.

Umechundraaaaaaaaaaa!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…