Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

Biashara zenye job security ni hizo za kina Mo.
Ila za hawa vijana mpaka mitaji wakopeshwe ni hakuna security huko. Akizembea kidogo ni anazika mtaji.

Ajira ni utumwa na mmekalia viti vya Halmashauri sijui wapi huko
Hahahah ajira itabakia kuwa unyama sana hasa ukiwa kwenye channel za wakubwa. Wanaoteseka ni wale daraja la chini tu kwenye ajira ila still hawaachi.

Hakuna kitu kizuri sana kama kuwa na uhakika wa tarehe 30 kuna miujiza inafanyika kwenye akaunti.
 
Security ni nyingi hata kama huko chini ndio maana hawatoki 🤣🤣🤣
 
Andiko Bora sana
 
Na hii ndio mitazamo ya wengi.Utasikia "biashara ikibuma".
Ukiwa na mtazmo huu wewe kaa mbali na kitu kinaitwa biashara hata usijaribu ujasiriamali kaa mbali kabisaa
 
Kingine hauumizi kichwa. Wewe ni kuamka na kuhakikisha umesaini au kuweka kidole tu. Ila biashara lazma ufungashe mizigo, upambane na trafiki, tra na wahuni kibao. 🤣 N hio ni mwezi mzima.

Tulio experience vyote tunaelewa.
Biashara si kwa ajili ya kila mtu.Biashara ni vita braza mtu lege lege achana na biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…