Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

Na hii ndio mitazamo ya wengi.Utasikia "biashara ikibuma".
Ukiwa na mtazmo huu wewe kaa mbali na kitu kinaitwa biashara hata usijaribu ujasiriamali kaa mbali kabisaa
Biashara kubuma ni swala ambalo lipo kweli. Hasa kama mtaji ni limited unaweza kugarauka mara mbili tatu kabla hujafanikiwa
 
Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week.
#FUNGUKA.
.......
View attachment 2592653
Tatizo haliwezi kumalizwa kwa hiyo mikopo

Hili tatizo la ajira ni kubwa sana na nashangaa watu wengi wakizingumzia ukosefu wa ajira wanazungumzia vijana waliomaliza vyuo tu na kuacha kuzungumzia vijana Wengine wengi ambao wamemaliza elimu ya msingi na sekondari kwa muda mrefu na hawana ajira

Wiki iliyopita nilitembelea mitaa Fulani hivi huku Geneva of Africa, Hali niliyoiona ni mbaya sana na ndio sababu uhalifu umeongezeka
 
Kingine hauumizi kichwa. Wewe ni kuamka na kuhakikisha umesaini au kuweka kidole tu. Ila biashara lazma ufungashe mizigo, upambane na trafiki, tra na wahuni kibao. 🤣 N hio ni mwezi mzima.

Tulio experience vyote tunaelewa.
😂😂😂 seems una experience ya vyote.
Tujuze zaidi basi, tutafute passion za side hustle.

Uwende/ usiende
Uumwe usiumwe
Wewe tarehe ikifia husahauliki
 
Back
Top Bottom