Biashara kubuma ni swala ambalo lipo kweli. Hasa kama mtaji ni limited unaweza kugarauka mara mbili tatu kabla hujafanikiwaNa hii ndio mitazamo ya wengi.Utasikia "biashara ikibuma".
Ukiwa na mtazmo huu wewe kaa mbali na kitu kinaitwa biashara hata usijaribu ujasiriamali kaa mbali kabisaa
Mitaji ya kukopeshwa⦠ni ngumu kuwa a full risk takerNa hii ndio mitazamo ya wengi.Utasikia "biashara ikibuma".
Ukiwa na mtazmo huu wewe kaa mbali na kitu kinaitwa biashara hata usijaribu ujasiriamali kaa mbali kabisaa
Uko sahihi mkuu..ndio maana huu mtazamo wa kubuma kwa mfanya biashara kwake ni kitu cha kukipuuza tu maana hilo ni constant kama Pie yanBiashara kubuma ni swala ambalo lipo kweli. Hasa kama mtaji ni limited unaweza kugarauka mara mbili tatu kabla hujafanikiwa
Kwahiyo lege lege akae ofisin si ndio au?πBiashara si kwa ajili ya kila mtu.Biashara ni vita braza mtu lege lege achana na biashara.
Kinachouzi baada ya vyote lazma utafute vizizi vya kupambana na washindani wako. π€£π€£π€£Biashara si kwa ajili ya kila mtu.Biashara ni vita braza mtu lege lege achana na biashara.
Sasa utafanyaje mkuu na ndio umeamua..inabid iwe tuu no way outMitaji ya kukopeshwa⦠ni ngumu kuwa a full risk taker
Hapana anaweza tafuta mahala pengine pa kukaa hata kukaa kwenye biashara ya mwengine yeye aajiriwe tu pia inaruhusiwaKwahiyo lege lege akae ofisin si ndio au?π
Sasa inatia uoga sana mkuu, kwa mtoto wa bhakresa anaweza furukuta akajaribu biashara hata 5 tofauti. Wewe moja tu ukienda chali nyumba imeuzwa.Uko sahihi mkuu..ndio maana huu mtazamo wa kubuma kwa mfanya biashara kwake ni kitu cha kukipuuza tu maana hilo ni constant kama Pie yan
Sio mbaya ila ajira utumwa. Akili inapoozaHapana anaweza tafuta mahala pengine pa kukaa hata kukaa kwenye biashara ya mwengine yeye aajiriwe tu pia inaruhusiwa
Hata ya kampuni bado u need brains..Kwann unahis ya kampuni ninrahia chief?Kinachouzi baada ya vyote lazma utafute vizizi vya kupambana na washindani wako. π€£π€£π€£
Biashara nzuri ni ya kampuni tu hii nchi.
Kampuni sio rahisi kuhujumiwa kama sole proprietorship. Ushaskia mtu kailoga kampuni wapi? πHata ya kampuni bado u need brains..Kwann unahis ya kampuni ninrahia chief?
Hizi kampuni zenu za Tours hamlogani? πKampuni sio rahisi kuhujumiwa kama sole proprietorship. Ushaskia mtu kailoga kampuni wapi? π
Tatizo haliwezi kumalizwa kwa hiyo mikopoHabari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week.
#FUNGUKA.
.......
View attachment 2592653
ndiyo itasaidia sana kwa baadi ya vijana wanaojitambuaHabari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week.
#FUNGUKA.
.......
View attachment 2592653
πππ seems una experience ya vyote.Kingine hauumizi kichwa. Wewe ni kuamka na kuhakikisha umesaini au kuweka kidole tu. Ila biashara lazma ufungashe mizigo, upambane na trafiki, tra na wahuni kibao. π€£ N hio ni mwezi mzima.
Tulio experience vyote tunaelewa.
Apia??? π€£π€£π€£Tatizo la ajira nchi hii
Ni Kama lilivyo tatizo la Nguvu za kiume kelele kibao&linakuzwa mno kuliko uhalisia
sasa tuna kwama wapi kwanini hizo mind sizisetiweMindset