Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

Wivu -jealous
Ubinafsi - Ego-centric

Binadamu anapozaliwa anazaliwa na ubinafsi , hii unaweza kuipima Kwa mtoto unamnunulia pipi Ila ukimuomba anakunyima .

Ila Wivu sio Asili Ila ni issues ya saikolojia au issue ya akili zaidi.

Wivu - ni pale unatamani kitu ambacho hauna na wivu hujengwa na kitu huitwa Scarcity mindset

Ila wivu huo huo badala ya kutamani kitu akichonacho mtu unaweza kuchukulia in positive way kuwa Kama wao wamenizidi na Mimi nikikaza nitafika walipo au zaidi.
 
Kesi za mauaji sababu ya wivu wa kimapenzi zinazidi kuongezeka.
 
Kuna wivu wa kuigiza, the real/reasonable jealousy is rare
Hakika. Ila kuna ule wivu flani natural mkuu. Unakuta mwana ana pisiake afu mnatembea we unakuwa msindikizaji wanashikana hapo, wanakiss, wanafanya yao dah inadhalilishaga kinoma afu inatia wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…