Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

paulo ameandika vitabu vingi katika bible,..ikla hawamkubali,..so whats yo point ndugu.,,,,hapo ni kujua iko hivyo,..wewe unayeyakataa haya ni binadamu bt ukweli uko hivyo mkuuu
Inabidi tutoke Kwenye box kwanza,ili tuweze kumjua Myahudi ni nani.
 
Tel Aviv declared world's best gay travel destination
 
kuna semi series moja inaitwa "band of brothers"
hio ilijaribu kuonyesha jinsi Hitler alivyokua anawanyonga watu na kuwatesa mno...it is a sad story....icheki nadhani utafaidi kujua zaidi.
 
Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
 
hiyo namba 4 mkuu ngoja nishibe kwanza ...
 
Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
Umekaririshwa sana sio Rais ni PM
 
Ur absolutely right, eti taifa teule!!! Upuuzi mtupu
 
Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
huyo netanyahu sio rais ni pm/prime minister
rais wa israel yupo bt hasikiki kutokana na government system yao!
 
Jaribu tu kujipima iq yako alafu angalia impact ya uwepo wako duniani ukijilinganisha na waisrael wemwenyewe utajiona dhahiri you are of a very low standard human being. Kwani shida iko wapi kukubali tu ukweli
 
Mbona ametutenganisha (ametubagua) hata kwa rangi zetu tu. Au hata hilo huoni ?
 
1.taifa lililo anzishwa mwaka 1948.
2.hittler alikuwa anaamini kuwa waisrael original ni negros , hawa wa sasa hakuwaamini na ndo maana ailikuwa anawaua.
 
I wish watanzania tungekua hivi. Kwanza mi sioni kosa hapo labda uelewa wangu . Hebu mtu anifafanulie hapo walichokosea hao ni nini? Tena hao ni wastarabu kabisa ukilinganisha na ubaguz wa wa south afrika kwa waafrika wenzao
 
Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
 
Taifa la watu wa kulialia sana linaloishi kwa huruma za mataifa mengine.
Taifa la watu wasiompenda kristo(wayahudi).
 
ndiyo taifa kiboko ya magaidi na kuthibitisha hilo limezungukwa na nchi za kigaidi lakini wote wamesanda.

Israel si ya mchezo-mchezo.
Wewe lofa wa kisukuma,wenzio siyo wakristo kama unavyodhani,na wapo kwa sababu ya marekani tu,ka wilaya kale kazungukwe na mashababi bila msaada wa EU na amerika ?
 
Wewe lofa wa kisukuma,wenzio siyo wakristo kama unavyodhani,na wapo kwa sababu ya marekani tu,ka wilaya kale kazungukwe na mashababi bila msaada wa EU na amerika ?
Mimi naamini Biblia. Hiyo ndiyo inayosema 'amlaanie Israel amelaaniwa' nikienda kinyume na Neno nitakufuru na unajuwa tena ukikifuru hata JF hutaiona [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanzo 12: 2-3
Zakaria 12:9

Ogopa sana Israel siyo ya mchezo mchezo.
 
Jaribu tu kujipima iq yako alafu angalia impact ya uwepo wako duniani ukijilinganisha na waisrael wemwenyewe utajiona dhahiri you are of a very low standard human being. Kwani shida iko wapi kukubali tu ukweli
1.Unataka kuniambia taifa la Israel halina watu wassup kielewa!
2. Wako katika kiwango gan kiuchumi kama ni taifa pekee kiac hiyo cha kudharau wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…