Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Katika bible ukifuatilia utaona kuwa kitabu kiliandikwa kutoka mapokeo mawili,wale wa yuda waliokuwa wanamwamini yhweh ama jehova kwa kiswahili na wale wa ufalme wa israel waliokuwa wakimwamini EL,
walichofanya ni kuchanganya haya maandiko toka mapokeo mawili tofauti na hii ndo ikapelekea pawepo nacontradiction kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka cha mwisho ambazo hazina maelezo saahihi kama mtu hujui kuwa vitabu vilichanganywa,Mungu El akajikutaanawekwa kando na badala yake JEHOVA ndo akawa ndo Mungu wa wana wa israel,
ndo maana kuna mkanganyiko sana kwasababu jehova yumo akitoa amri zake za kuwafavour wayahudi na pia El nae yupo akitoa maelezo yake ya watu wote KUMWABUDU YEYE ALIYE JUU.ili mwisho wa siku atawapeleka huko juu MBINGUNI