Duh! Jew and Israelite!.Jew ni tamaduni sio uraia!. Israelite ni uraia.kulikua na makabila 12, kabila bora kabisa ni Judah, linalofuata ni Lawi na la tatu ni Benjamin. Wote 12 makabila waliitwa Nyumba ya Israel lakini sio Jew!. Jew wa kweli walitoka milima ya Salem( Jerusalem) na mji wa Bethlehem ambao ulikaliwa na Judah kama viongozi wa kisiasa,Lawi kama Makuani na viongozi wa Dini.Ndio maana kipindi cha Yesu kulikua na Mahekaru kila sehem lakini ili uonekane wewe ni Jew,unaefuta nasaba ya kiyahudi lazima ukaabudu Jerusalem.Kwakua Judah(Real Jew ambao Mungu alihaidi atasimama nao) ndio walikua bora kuliko makabila yote ya Israel. Kwahiyo ili uwe Jew lazima ufuate nasaba ya Judaism!. Sio lazima uwe Jew, kwa kuwa wapo wa Israel ni wakristo lakini ni waisrael na sio Jew.Albert Einstein alilelewa katika ukristo, ni Muisrael wa Semitic ya Marekani, Bill Get ni Muisrael wa Semitic ya Marekani na ni Mkristo.So kama umezaliwa katika kabila la Zabroni, Ammon au mengine utaitwa Jew kama utafata imani za Judah,lakini kama ufuati basi wewe ni Muisrael tu.