Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Israeli moja ya mataifa ya kwanza kabisa kuhalalisha Ushoga duniani, Isareli ndo nchi ya kwanza kuhalalisha Ushoga jeshini na juzu katu USA kafuatia.

Israeli ni moja ya mataifa yanato ongoza kwa kuwabagua Waafrica, Isaralei inaubaguzi wa kiwango cha juu kabisa kwa Waafrica, Haitakiwa waafrica waishi Israeli na huwa wanafukuzwa au hata kuuwawa, Wa ethipoia wanateswa sana Isareli na wameisha katazwa kuzwaliana.

Israeli ndo Taifa pekee lililo kuwa linawaunga mkono Makaburu wa Africa kusini kipindi cha ubaguzi wa rangi kwa nguvu zote, ingawa hata Ulaya ilikuwa inaegemea kwa makaburi ila Isaraeli walikuwa ni zaidi.

Tatizo la Wakristo wenzangu wa Bongo tumeshikiwa akili, tumelishwa maneno na kuamini, ukifuatilia matendo ya nchi ya Isaraeli utagundua kwamba huu uteule ni siasa tu.

Acheni ksuhiukiwa akili someni vitabu
Ukweli mtupu..
 
Israel ni 1/6 ya ardhi yote ya Mashariki ya Kati sawa na asilimia moja tu ya eneo lote la Mashariki ya Kati

Ndiyo nchi pekee yenye viwanda na makampuni makubwa ya teknolojia duniani

ni kati ya nchi tatu za kidemokrasia duniani ambapo Katiba yake haijaandikwa popote pale

NI MOJA YA nchi chache ambazo noti zake zina maandishi ya nukta nundu

Theluthi mbili ya Waisraeli hula mboga na matunda tu na ndio nchi inayotumia kuliko zingine duniani

Lugha Kuu Mbili za Kitaifa ni Kiebrania na Kiarabu
 
Katika Qur'an inasema kuna siku wafalme wote wataporomoka, huko nchi za kiarabu na Israel nayo vile watapata kibano watakimbilia wasiko kimbilia, siku gani hio? kuelekea mwisho wa dunia, katika qur'an tukufu imeongea kwa watu wa Palestine na Israel.
 
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer, PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 alipewa ofa ya Urais wa Israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukimbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4; Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono wapalestina na inahubiri Israel ivunjwevunjwe kwa amani ili wapalestina wabaki na nchi yao.

5: Baba wa taifa na mwanzilishi wa Israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion.

6: Jiji la Yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7: Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.

8: Ni DAVID Ben Gulion founder wa Israel aliyeahidi dunia ataibadili jangwa la Negevu kuwa bustani na kuilisha dunia.

Kwa kuonyesha mfano alienda kuishi jangwani kibbuz sda boker nyumba yake. Leo kibbuz ndio kittovu cha kilimo duniani. Kuna makampuni lukuki ya tech na dunia nzima yanaenda kujifunza kilimo na ufugaji lililokuwa jangwa ambalo waarabu waliliona kama sio kitu.

9: Karibu uchumi wa dunia nzima na matajiri wakubwa duniani ni waisrael na wanasaikolojia chama ni chao. Wanamiliki taasisi lukuki za kipesa. Wao wanaamini Israel ni damu sio ardhi, popote alipo nyumbani kwanza.

Na pia:
1. Hawajawahi kushindwa vita
2. ni nchi ya nne duniani kwa kuwa na nguvu kiujumla na yenye ushawishi mkubwa
3. Ni nchi yenye raia wengi waliosoma kuliko yoyote duniani - asilimia 46% ya wananchi wote wana digrii na diploma
4. Ni nchi inayoifundisha jeshi la wamarekani, hivyo ni wenye akili na ujanja sana kupita mtu yeyote duniani
5. Kama wewe ni adui wa Israel atakusaka popote ulipo na hashindwi.
6. Ni taifa la Mungu
7. Wana nguvu za ajabu
8. Ni nchi yenye technologia ya hali ya juu
9. Wanaheshimiwa na jirani zao wote maana alizipiga nchi zote zinazowazunguka
10. Ni nchi ya pili kwa kuchukiwa duniani, marekani ni ya kwanza.
11. Best airforce
 
Huon aibu kwa ukichokitapika
 
Huon aibu kwa ukichokitapika
Hata ujiue kwa wivu huo ndio ukweli hata ujikatekate roho ivimbe hiyo ndio habari ya mujini, na kama umekwenda shule basi haya yote ungekwisha yafahamu bila shaka..... Poleeeeeyako
 
Ukiangalia kwenye mambo ya inovation index,bado kuna nchi zinaipiku sana israel,sijui nao ni mataifa teule?

Mambo ya kiimani hayahusiani na mambo ya kidunia,
wahindi wanaabudu ng'ombe lakini leo hii ukianzisha kiwanda chako na ukataka mambo yaende sawa utawafuata india na kuwapa kazi za management,sijui nao wamebarikiwa
 
Na pia:
1. Hawajawahi kushindwa vita
2. ni nchi ya nne duniani kwa kuwa na nguvu kiujumla na yenye ushawishi mkubwa
3. Ni nchi yenye raia wengi waliosoma kuliko yoyote duniani - asilimia 46% ya wananchi wote wana digrii na diploma
4. Ni nchi inayoifundisha jeshi la wamarekani, hivyo ni wenye akili na ujanja sana kupita mtu yeyote duniani
5. Kama wewe ni adui wa Israel atakusaka popote ulipo na hashindwi.
6. Ni taifa la Mungu
7. Wana nguvu za ajabu
8. Ni nchi yenye technologia ya hali ya juu
9. Wanaheshimiwa na jirani zao wote maana alizipiga nchi zote zinazowazunguka
10. Ni nchi ya pili kwa kuchukiwa duniani, marekani ni ya kwanza.
11. Best airforce

Tunaomba source, acha ushabiki wa kijinga,
 
Israeli ni taifa pekee lililojipa kibali cha kufanya mauaji ya watoto wkt jumuiya ya kimataifa inaona na inakosa nguvu ya kukemea jambo hili huwez kulikuta kwenye kikundi chochote kinachoitwa cha kigaidi hivyo ni nchi yenye aina ya kipekee ya ugaidi dhidi ya watoto na hili ndio taifa teule.
 
It is so small,that is why it cant afford to wage war for more than four week,it run out of resource
 
Ukikumatwa israel unamhubiri mtoto wa kiyahudi kuhusu yesu,wanakuweka jela.

Kule hata Topetope joshua anaendaga tu kama mtalii na si kuhubiri,
waisrael wana msemo,Evangelist are welcome but not to evangelise,
wao wanachotaka ni mapato ya kitalii na sio injili,muulizeni dr slaa atawambia.

Siku ya xmasi pale bethelemu,hakuna rais ama waziri mkuu wa israel alipata kuhudhuria mkesha wa xmas,
miaka yote amekua akihudhuria Arafat na baada yake Abu mazen.

Pale katika kanisa la jerusalem linalindwa na wapalestina na ndio wenye ufunguo wa kanisa hilo
 
Huu ni ubaguzi...ni chuki unaijenga kati ya wanadamu kwa wanadamu...huwezi kua na upendeleo kwa kijuha namna hiyo...yaani mataifa mengine ni sub humans waisrael ni humans zaidi?

Mimi ni mkristo ila mafundisho ya kibaguzi kama hayo hua niliya delete kabisa...ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee
Dogo bado unahitaji somo, elimu haina mwisho, na mwenye busara haishi kujifunza. KWA KIFUPI SANA Hiyo sio chuki ni kumpa heshima anaestahili, kama unavyompa kaka au dadako heshima, sisi wote ni watu wa Mungu lakini Tunachokueleza ni kuwa Taifa la Mungu lilianzia kwa waisraeli. Hilo ndio taifa lake aliloliteua. na akalibariki na akalipa uwezo juu ya mataifa yote mengine. Hayo yapo kwenye bible, kasome genesis 25:23; Mungu alimpa nchi ya Israel Abraham akamwambia atazaa mtoto Isaac ambaye atazaa mapacha ambao wataunda mataifa mawili tofauti moja litakuwa uzao wa Jacob na mwingine uzao wa Esau. Jacob ndi akawa Israel watu wa Mungu na uzao wa Esau wanaitwa edumeans ndio ambao ni mostly etheists. wote wakakaa Israel. Mwaka 1706BC kukatokea janga la njaa kubwa Jacob na uzao wake wakahamia Misri na kwingineko duniani wakwaacha wale uzao wa Esau kule Israeli ndio maana utakuta wengi wa waisraeli walioko kwao sio wachristo lakini bado ni wana wa Mungu na Mungu alishamwambia Abrahamu kuwa kizazi chake kitagawanyika kama hivyo. Mungu akawahakikishia usallama waisrael: Isaiah 41:10-11; lakini pia biblia inasema ku binadamu ni mbishi kuelewa: Romans 1:18-25. Kwa hiyo kwa kifupi usibishe au kujaji vitu uvyovijua, tafuta Muda soma zaidi uelewe historia. Sisi wote duniani ni watu wa Mungu hata wale wasioamini kama Mungu yupo.
 
Ukikumatwa israel unamhubiri mtoto wa kiyahudi kuhusu yesu,wanakuweka jela.

Kule hata Topetope joshua anaendaga tu kama mtalii na si kuhubiri,
waisrael wana msemo,Evangelist are welcome but not to evangelise,
wao wanachotaka ni mapato ya kitalii na sio injili,muulizeni dr slaa atawambia.

Siku ya xmasi pale bethelemu,hakuna rais ama waziri mkuu wa israel alipata kuhudhuria mkesha wa xmas,
miaka yote amekua akihudhuria Arafat na baada yake Abu mazen.

Pale katika kanisa la jerusalem linalindwa na wapalestina na ndio wenye ufunguo wa kanisa hilo
hivyo unavyoviona pale hata kwenye maandiko vipo na hiyo ndio inathibitisha jinsi gani hili taifa lilivyo la MUNGU.
 
Ukisema ni atheist halafu upande mwingine inafahamika Gulion alikuwa Zionist leader naona kama unachanganya mambo...huko kwingine sina shida nako hapo tu...IBARIKIWE ISRAEL,BLESSED BE THE LAND OF ISRAEL
Ni sawa, hiyo ipo katika maandiko uzao wa Usau ndio atheists usishangae, Mungu alimweleza Abraham hata kabla Jacob na Esau hawajazaliwa....
 
Yesu alisema kuna watu watakuja na kujiita kuwa wayahudi wakati si kweli,na akasema hao ni wa hekalu la shetani,ambae ndie baba yao,hawa waisrael wa leo ni wazungu,sio wale waisrael wa asili.
Waisrael wa asili baada y ya kupelekwa uhamishoni na wababeli,waasyria,wapersia etc walirudi hapo na kuendelea na maisha yao na hata wakati warumi wanakuja kutawala pale,waliwakuta wayahudi pale,warumi waliita eneo hilo palestina kwahiyo wakazi wote wa hapo wakajulikana kama wapalestina,hata wakati yesu anazaliwa alizaliwa kipindi cha utawala wa warumi,na kipindi hicho hakukuwa na nchi ikiitwa israel baada ya zile falme mbili za yuda na israel kutokomea,
baada ya utawala warumi zilifuata tawala za kiarabu ambazo sijasoma mahali kwamba hawa wayahudi waliokua wakikaa hapo walikuja kuwa displaced wote,mpaka wanakuja kutawala waingereza 8ritish empire bado kulikuwa na wayahudi na makabila mengine hapo palestine,

sasa hawa wazungu waliotoka ulaya kuja kukamata maeneo ya wakazi waliowakuta na kuwanyang'anya wakidai ni nchi yao walipewa na Mungu,miaka 3000 nyuma,hivi inaingia akilini kweli?
 
Watu hawaelewi kuwa hapo zamani eneo hilo la caanan,watu waliabudu miungu mbalimbali,kuna kwa mfano baal,
pia kuna mumgu wa vita YHWEH,
Huyu akiiabudiwa katka nchi ya yuda,alikua ni mungu wa vita na ndio maana katika maandiko utakutwa anaitwa bwana wa majeshi,huyu ndo sisi twamfahamu kama JEHOVA.
Huyu akiaabudiwa sana katika ufalme wa yuda.

Pia alikuwepo EL,huyu alikuwa ni mungu wa milima,au maeneo yaliyo juu,huyu aliabudiwa na jamii mbalimbali hapo caanan ikiwemo ufalme wa israEl.
Alikuwa ni mungu wa milima ama miinuko,ilikua ni marufuku kujenga majengo marefu kwenda juu kwani ilionekana kama nikutaka kumfikia mungu El,ndo maana hata lile ghorofa la babeli ilikuja kuwa ishu,

huyu mungu El Ndo alionekana THe MOST HIGH.
Ili kumpata ilikua lazima kwenda mlimani,ndo maana hata moses akitaka kuongea na mungu ilikua lazima aende mlimani.
Hata yesu pia,alikuwa anapanda mlimani kuongea na mungu,

sijajua uhusiano wa EL na jina ALLAH,ila matamshi ka;ma yanakaribiana
uhakika nilio nao yesu hakupata kumtaja JEHOVA KAMWE
 
Back
Top Bottom