Wajerumani walidhani wayahudi ni maadui zao The holocaust is not monocausal.
kwanza lazima tujue kuwa ukristo ni ant-judaism na ulaya yote hii ilitambulika sio tu ujerumani na austria na iikumbukwe wayahudi walikuwa wachache sana europe so they had lot to suffer wayahudi walikuwa hawana nchi, na walikuwa masikini kazi walizoruhusiwa kufanya ilikuwa banking and trading wote tunajua hivyo.
Kipindi kile cha french revolution na napoleonic war ujerumani walikuwa mashabiki wa napoleon na nchi nyingi zilizokuwa shabiki wa napoleon zilikuwa ni nchi za kidikteta baadae Germany, Austria,Spain,Portugal vile vile.
Wayahudi waliipenda hii idea watu wakawaona kuwa wako wrong side ikumbukwe napoleonic war pia ilikuwa ni ideological war.
To fight the French ideologie, you other alterative ideologies rise up. An ideology against the french revolutionaries became christianity. na hapa sasa ukristo ukawa more conservative than it was before. Especially the german protestants.
Ideology nyingine against the French was the idea of "Volk" - au tunaweza iita people - vs. nation. ambayo ilikuwa ina biologic background, excluding the yews. walivyopewa haki zao karne ya 19 ilkawa balaa waliendelea balaa. wakaenda na mazingira na ukuaji wa teknolojia kwa sababu ya akili zao . ikawafanya jamii za ulaya wawe jealous and anxious. wakaunda theory yao ya Darwin .
Mbaya zaidi wayahudi wakawa katika nchi nyingi ni politically leftwing. mfano mdogo tu ujeurmani Karl Marx was jewish, na wengine wasocial democrats walikuwa jewish. upande mwingine, makapitalist wengi walikuwa wayahudi. upeo wao ukawa ni influence, mfano Sigmund Freud na Albert Einstein. baadhi ya watu waliwaidentify wayahudi na modernity. na modernity ina bright side and a dark side ikumbukwe ikawafanya wayahudi kwa wajerumani wawe ni a symbol of the dark side of modernity.kama nilivyosema mwanzo wayahudi prefered left wing or d emocratic parties.
Baada ya WW1, the rightwing parties in Germany walisema wamesalitiwa na left wing parties hasa hasa wayahudi.
Ujerumani baada ya ww1 walikuwa na muunganiko wa ukristo na antjudaisim wivu kwa socialdarinism ukawaganda kupoteza vita na kusambaratika kwa idea ya VOLK chuki kwa wayahudi ikawajaa na tukiangalia mapinduzi ya vita za napolepnic watu walipigana wenyewe kama nchi vita kipindi kicho haikuwa ni vita za wafalme na maadui zao kama enzi za kina ceasar watu waliopitiwa na ideologie ya volk watu wote walipigana
men, woman, children, all became the enemy which is to fight.
Warfare katika ideologie ya nchi ilisambaa na haikuwa tena against army au against enemy, ikawa against civilians nchi nzima au watu wote kwa hiyo mifano yote hapo kama maandamano ya Atlanta of the Union army mauaji ya kimbari ya Armenians in WWI. kambi za mateso za waingereza kule buerwar, mabomu mijini kama (Guernica, Coventry, Dresden, Hiroshima) etc.
Wanationalsocialists waliita hii the battle of Verdun. ambayo ilitokea February and December 1916 about 750000 french and german soldiers walikufa hapa.
Kwa namna hii Germans regarded the jewish as the enemy, and the enemy is to exterminate.
Ndio maana kilichofuatia hapa ni kuwachinja na hitler aliwachinja kweli wengi wao aliwachinjia kijiji cha sobibor, Poland ambapo kulikuwa na extermination camp pale