Unaepuka vipi kuwa "Chikunde" ukiwa unadate na mtu mambo safi?

Mboga tamu sana hiyo, mara ya kwanza nimeila pale mnazi mmoja (rikky hotel) yani kila nikifika pale menu yangu ni ugali+msusa.

Nimeitamani inabidi niile na ugali wa mhogo mchana huu
 
Kweli tuna maisha ya shida mdogo wangu lakini kula utumbo wa kuku? Mmmh..
Hahaaaahaaa!!!wanauza fungu 200 au 300 mpk 500...miguu mmoja 150..kichwa 150...watu wa pwani hawapendi mboga za majani wanapenda sana ushombo ushombo yaani wako radhi wale dagaa wa buku kuliko kunnua tembele la La 300..
Halafu kula tembele kwa watu wa pwani wanaona umefulia..yani
 
Siwez ficha haiba yangu nakula vile navyotaka kula haijalishi ni offer au nanunua yanini kujinyima uhuru
 
Inawezena tatizo ni uwasilishaji ila Kuelewa nako ni kipaji after all.

Kuna mshikaji alitokaga huko Marangu kitambo sasa si unajua vyoo na mabafu ya town jamaa akawa anaoga na kujisugulia ile brash ya kusugulia sink la choo kwa muda kama wa mwezi ivi mpaka alipogundua anachokifanya sio sahihi

Hii alikuja kutuhadithia mwenyewe huku akijicheka, kila mtu ni mshamba katika kipindi flani cha maisha yake hahahaha
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nasubiri uje unitoe out we msukuma
 
Aibu ya nini sasa? Kwani kushika uma na mkono wa kulia ni dhambi au kunaubaya wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…