Unaepuka vipi kuwa "Chikunde" ukiwa unadate na mtu mambo safi?

Unaepuka vipi kuwa "Chikunde" ukiwa unadate na mtu mambo safi?

Hahaaaaaaq
Ngoja nikatafute mwendelezo [emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi kitu kilichonishinda ni kujivunga. Ukinitoa out sehemu za heshima sijui za uma, vijiti, visu, na nini sijui[emoji23][emoji23] naweka kando!!!!

Sema Mimi Baby mwelewa wakati mwingine ananishauri tuu "usitumie hivyo tutaaibika" na pia huwa ananifasiria menu [emoji23][emoji23][emoji23]maana sishindwi kuagiza uji nikijua kitu cha maana.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sipendi demu pretender hata siku moja nikigundua tu nakupiga chini mara moja
 
Sipendi demu pretender hata siku moja nikigundua tu nakupiga chini mara moja
Hii thread mmeibaka tu, sijasema kupretend wasukuma tunasema mashikolo mageni, yani hujawahi kuingia labda hotel nzuri ndo unapelekwa sasa kwa mara ya kwanza hujui vitu unapambana vipi na ushamba?! Umezoea kuoga na kopo hizo jacuzzi unafanyaje? Inaletwa menu pale siju maize, garnished with soy nini nini huko kumbe makande ila haujui....ndo nlichokimaanisha
 
Kwahy watu wameleta uchikunde ktk Uzi? Hahahaha
 
Utakuja dondoka kwa njaa we mtoto,
Unajilipua tu bhanaa, afu wajifanya comedy,

Mwanaume hawezi kudharau kwa kutojua hivyo vituu..
 
Alafu unapaswa muelewe kwamba,
Si lazima kutumia uma na kisu kwenye kula,
Huo ni utamaduni wa kizungu, na asilimia kubwa hizi hotel watalii ni wazungu,

Kama wewe ni Mwafrika au Arabs ni utamaduni kula kwa mikono yako.

Nakumbuka wkt nafanya field TFDA, tulienda kukagua Capetown fish market, baada ya ukaguzi tukaletewa hayo mambo, pemben kulikuwa na wakorea.

Walikuwa wanatumia mikono kula na wala si hayo mavitu, sisi ndo tulikuwa twajishaua.

Mtu kisu kashika mkono wa kushoto, umma mkono wa kulia, ilikuwa aibu tu mezani, kuku anakatwa hakatiki, mara kutelezaaa, mtu anakula huku macho yamemtoka kama samaki, hasira kibaooo

Hahahaha
Aibuu!!
 
Back
Top Bottom