Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mpwa siuliziii utumbo wa ngombe au mbuzi...Uncle tangu nikiwa mdogo, nilikuwa naomba kweli utumbo wasiutupe, nausafisha, natia viungo nakaanga teh, hadi leo nikiuona mate yananitoka. Cha kushangaza nikikuta tu nyama imechanganywa na utumbo wa ng'ombe sigusiìiiiii
Naulizia wa Kuku..