USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Tangu uzinduzi wa kampain ya uchaguzi mkuu chama kikuu cha upinzania kinachomalizia muda wake kimeonekana kupoteza mvuto na mahudhurio hafifu mbagala, kawe na leo segerea kimepata watoto na wanachama wachache hivyo kuzua taharuki nini kimekikumba chama hiki kilichokuwa kinajaza watu sana .hizi ni nondo kuhusu hili:
1. Wabunge wake wengi waliunga juhudi - Takribani wabunge watatu machachari wa kinondoni ,segerea na temeke walivua magwanda wakavaa ukijani hii iliwaboa wanachadema wapigakura walioteseka kuwapigania hasa kule segere mpaka sasa kuna vijana ni waremavu na wautara hata hakwenda kuwaona hospital na badala yake akakimbilia ccm ,ulikuwa ni usaliti wa kipuuzi sana hapa wanawajibu na msubirie kwenye sanduku la kura
2. Wagombea wengi ni watu kutoka kanda moja ya kaskazini na sio wazawa wa pwani ni watu wakuja hivyo inaonesha umimi na ukanda ndani ya chama .asia msangi.mdee.lukumay.john mrema,Boniface jacob,poul ataly na huyu ndugu yake mbowe mliomweka kinondoni .hii imeibua hasira kwa wazawa na kuona kuwa mnataka kuleta ukanda .
3. Kuwepo wasiwasi wa vurumai mikutanoni -kuna wasiwasi mkubwa hapa dar tangu vurugu za kinondoni na polis kuuwa mwanafunzi kumekuwa na wasiwasi katika shugli za chadema kuwa zimekaa kijinai hivyo saa yoyote kinaweza kunuka .
4.Hakuna jipya ni mwendelezo wa story ambazo hapa dar zilizungumzwa sana kipindi cha tukio la lisu kushambuliwa so watu wanashangaa kuone mwendelezo hii inamaana hii single imechuja ni bora chama kikajielekeza kwenye hoja za maendeleo badala ya tukio la kushambuliwa lisu
5. Ujio wa ACT wazalendo hii imefufua wanakaCUF baada ya maalimu kuhamia ACT na kusomba wafuasi hasa mbagala.temeke.ilala na mjini kati ,maana maeneo mengi ya pwani ni CUF ilivyofubaa na sasa wameona ACT ndio alternative yao kwa sasa .
6. Siasa za utapeli na kuchangishana pesa kwa lazima kila mgombea kuanzia wa udiwani anaomba pesa huku nyama vidogo tena vizivyo na ruzuku hawaombi pesa vyama kana chauma.act.adc na n.k vinajitegemea inakuwaje chadema chama kikubwa chenye rukuzu kubwa kwa muda mrefu kiombe ombe pese