Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Bado mnapimaga kukubalika kwa kuangalia nyomi za uwanjani? Poleni sana, Kwa jinsi watanzania walivyochoka hawana hata sababu ya kwenda uwanjani. Endeleeni kuwapelekea wasanii wa mziki na bongo movie atleast ni burudani kuwaliwaza na mateso waliyoishi nayo miaka hii mitano!
 
Muache na kukaba na kupora fomu za uteuzi.
Kakudanganya nani wewe! Kama mmeshindwa kuwatumia wasanii ni ninyi CDM ! Wasanii ni sehemu ya hamasa na burudani! Kampeni ni pamoja na burudani !.. Achaneneni na mziki wa CCM hamuuwezi !
 
Wewe unafikiria kwa kutumia kyumaa yako!
Nadhani nyie wana chadema huwa mnafikiri kwa kutumia mikun..... Jambo la muhimu katika mikutano ya kampeni ni watu waje kwa wingi ili wasikilize sera kisha waamue. Hivyo kutumia mbinu zozote ili watu wengi wahudhurie katika mkutano wako ni swala la muhimu sana.

Tatizo mbinu za vita ya kisiasa hamzijui. Hivyo mnabakia kubeza hata vitu vya msingi katika vita ya kisiasa. Kenge nyie
 
mikutano ya ccm bila wasanii na malori si lolote si chochote.
CCM siyo wajinga kutumia wasanii. Watu wanajaa kuangalia wasanii sawa, lakini hawa hawa watu wanapata nafasi ya kusikiliza hoja za wanaccm. Wapo amabo wanatoka pale na mawazo mapya ya kuipigia kura CCM. Kama hujui hilo basi kila siku matabaki kusema mnaibiwa kura. CCM wana sera ya kutoridhika na wanachama au wafuasi walionao, wao kila siku wanalenga kuongeza watu wapya ikiwemo kwa kutumia njia mbaimbali ikiwemo hiyo ya wasanii. Jiulize kwa nini Cocacola au Pepsi wanatumia nguvu kubwa kujitangaza wakati tayari jina lao katika biashara ni kubwa?
 
Fiesta la CCM si mchezo - miaka ya nyuma waitumia pilau nyama, sasa wamebadilisha gia angani - ni Full Fiesta - wasanii zaidi ya 100 uwanjani...

Kweli hiki ni Chama Pedwa!!
 
Kiuhalisia nikiona mtu anaishabikia CCM nachoka nakushangaa na zaidi nakuona ni adui na muuaji mkubwa
 
Kakudanganya nani wewe! Kama mmeshindwa kuwatumia wasanii ni ninyi CDM ! Wasanii ni sehemu ya hamasa na burudani! Kampeni ni pamoja na burudani !.. Achaneneni na mziki wa CCM hamuuwezi !
Najiepusha kuwatukana uvccm kwa kuwalamba block.
 
Mhu! Hakuna point hapo. Kuna watu wanapiga kura ingawa hawajawahi kuwa kwenye hizo kampeni. Je, kwa hawa unasemaje? Kura ni tofauti na kuona watu wanavyofurika kusikiliza. Kuna watu hawahudhurii kampeni, lakini wanajua watampigia nani kura. Je, kwenye utafiti wako, umelizingatia hilo?

Ila lazima tukubalieni, ukuiona ndugu yako anaishi kwa kuomba lazima usikitike. Chadema kuishi kwa kuomba muda huu ni mfadhaiko kwa wanachama na washabiki.
 
Dah...Mkuu umesahau pia...robo tatu ya wanachadema wa Dar..... tatizo lao kuu lilikuwa ni uwepo wa DAB kwenye ile ofisi ya Karume....CCM nayo ikatumia mbinu 🤣 🤣🤣
 
Nadhani nyie wana chadema huwa mnafikiri kwa kutumia mikun..... Jambo la muhimu katika mikutano ya kampeni ni watu waje kwa wingi ili wasikilize sera kisha waamue. Hivyo kutumia mbinu zozote ili watu wengi wahudhurie katika mkutano wako ni swala la muhimu sana.

Tatizo mbinu za vita ya kisiasa hamzijui. Hivyo mnabakia kubeza hata vitu vya msingi katika vita ya kisiasa. Kenge nyie
Dah...akili zao za hovyo sana...tokea 2015 hadi sasa wamelipwa zaidi shilingi bilioni 52.....tena zimetokana na kodi zetu sisi wananchi...halafu bado wanataka nitoke Kimanzichana hadi Mbagala kwa nauli yangu kuja kuwasikiliza.... kwa sasa mtatusamehe tu
'' Mkitaka kula basi na nyie lazima mliwe kidogo'' - Jakaya Kikwete 🤭
 
Kakudanganya nani wewe! Kama mmeshindwa kuwatumia wasanii ni ninyi CDM ! Wasanii ni sehemu ya hamasa na burudani! Kampeni ni pamoja na burudani !.. Achaneneni na mziki wa CCM hamuuwezi !
Hadi trump alitumia wasanii
 
Ila lazima tukubalieni, ukuiona ndugu yako anaishi kwa kuomba lazima usikitike. Chadema kuishi kwa kuomba muda huu ni mfadhaiko kwa wanachama na washabiki.
Kwa upande wangu, kila chama cha siasa kina namna yake ya kupata vyanzo vya mapato, provided wanachokifanya hakivunji sheria za nchi. Kuchangishana pesa kwa wale wanaotaka na wanaoweza kufanya hivyo ni tofauti na 'ndugu anayeishi kwa kuomba'. Kama kuchangishana pesa ni aibu basi kwa msingi huo huo hata michango ya ada za vyama, harusi, msiba etc ni aibu pia.
 
Ndhani kalizingatia vema wengi wanaobaki nyumabani ni wanawake wazee na wstaarabu amabao wote wataipigia CCM
Hawana muda wa kwenda kwenye majukwaa.
Wananchi wanajua ni kiongozi gani watamchagua kuwe na kampeni au kusiwe na kampeni. Hata hivyo, kampeni ni fursa ya kupata ufafanuzi au kuelewa zaidi sera zinazonadiwa na chama cha siasa kwa wananchi. Mwaka 2015 wananchi wa Ukerewe waliamua kabla ya uchaguzi kuwa kura za Rais wangempa JPM na Lowassa za mbunge na baadhi ya madiwani na ndivyo ilivyokuwa. Kwa hiyo, kwa watu wengi tayari wanaenda kwenye kampeni au hata kama hawaendi lakini wanajua kura zao watampa nani. Kwa msingi huo, wananchi wawe wengi kwenye kampeni au wachache, it doesn't matter. After all, siyo wote wanaoenda kwenye kampeni ni wapiga kura na siyo wote wasioenda kwenye kampeni siyo wapiga kura. Kuna wanaoenda kwenye kampeni na ni wapiga kura na kuna wengine si wapiga kura. Hata kwa wale wanaobaki nyumbani - baadhi ni wapiga kura na baadhi si wapiga kura.
 
Labda tu nikwambie

Usipime nguvu ya chadema kwa idadi ya watu wanaohudhuria mikutano

Chadema ina wamachama wengi wasomi na sio jobless kama CCM..kutokwenda kwa mikutano haina maana hatutampigia kura Lissu

Siku hizi tunaweza kusoma hotuba hata kwa simu...tunaweza kuangalia kampeni youtube..

Tangu ameteuliwa Lissu tulishafanya maamuzi kumchagua..hakuna haja ya kwenda kupigwa na jua...Ana kura zetu na tutamchagua LISSU THE GREAT.
 
Kuishi kwako kwa kujipendekeza na wameshakutoa marinda wanaokulea (ukhanithi unao) utamuwezaje mama yangu.??!!
 
Kwa upande wangu, kila chama cha siasa kina namna yake ya kupata vyanzo vya mapato, provided wanachokifanya hakivunji sheria za nchi. Kuchangishana pesa kwa wale wanaotaka na wanaoweza kufanya hivyo ni tofauti na 'ndugu anayeishi kwa kuomba'. Kama kuchangishana pesa ni aibu basi kwa msingi huo huo hata michango ya ada za vyama, harusi, msiba etc ni aibu pia.

Kuomba kwa kutembeza debe na kofia ni kutaka msaada kwa yeyote yule atakaye kuonea huruma. Sasa ndio Chadema imefikia hapo? Tumechangisha kwa muda mtindo tofauti kwa muda mrefu lakini sio mtinda kwa hali hii wa kudhalilisha.

Tunakokwenda inaweza kuwa kwa shida sana, kwa kuwa vyanzo vya kuaminika vimepotea na kutafuta vyanzo vipya siku zote sio rahisi kama ambavyo wengi wanavyo weza dhani.

Kama zaidi ya shs million 740 za hakika kila mwezi hazikufanya kazi ya maana, inatakiwa tujue huko mbele chama kitapoteza uwezo wa kusambaza injili ya Chadema kabisa.

Kipimo cha joto cha Chadema huwa huku Kilimanjaro. Hali ni tofauti sana tangu nijiunge Chadema mwaka 1994, utasikia uwongo mwingi mitandaoni lakini tusijenge imani ya matokeo kuwa kama tunavyoaminishwa, tukipata mbunge hata mmoja Kilimanjaro yote lazima tuinue mikono juu.

Wengi wanajaribu kumwelezea Magufuli kama alivyo lakini huku wananchi wameamua kuishi nae na sio Tundu Lissu. Hata DC wa Hai tunamponda sana huku mitandaoni lakini nakuhakikishia wakazi wa huku Hai wana muona ni shujaa wao.

Kama angekuwa ni mtu wa Hai ( Mmachame ) shuguli ya Mbowe ingekuwa imeeisha. This time around there is a big mis match between Hai residents and non residents of Hai who originally from Hai, na wanaoishi Hai wao ndio wapiga kur. Influence ya Non residents this time ni ndogo sanaaaaa na kama haipo.
 
Back
Top Bottom