Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
Aaah wapi
 

Attachments

  • FB_IMG_1598701037519.jpg
    FB_IMG_1598701037519.jpg
    56.7 KB · Views: 2
Husijisahaulishe ndugu yangu dar ya leo si ile ya nyuma leo dar kuna maendeleo makubwa yamefanyika hii imewafanya wanadar ex salaam waone kuwa hakuna sababu ya kumdharau magufuli,jiji la dar limefanya maendeleo makubwa ya miundombinu watu wameona nini magu amewafanyia wanataka kulipa fadhila,labda uniambie kwenye ubunge angalau kwa kuwa wanaoishi dar wengi waelewa kwa maana wanajua umuhimu wa Upinzani lakini wengi utawasikia ubunge nampa mpinzani lakini kula yangu ya urais nampa magu.
 
Wasanii wanafata nini bila wasanii jukwaani atabaki bashiru na slow pekee
Kwani nyinyi mmekatazwa kua na wasanii??? Na pia wekeni hata ushahidi ya video inayo onyesha watu wakisombwa, hizi hoja zenu za kijinga ndio maana watu wanazidi kukata tamaa
 
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia Duniani
Ndio hicho Mungu alichokiteua..jomba..na ndio hicho kupitia uongozi mwenyekiti wake amekuepusha wewe na ndugu zako , waume zako, watoto wako uliozaa wajomba zako na Corona..
 
Propaganda tupu!

Jiulize mbona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana mliotumia mabavu watu hawakujitikoza karibu nchi nzima na Dar ikiwemo kama mnakubalika?
 
Hoja za kitoto sana !
Anadhani wasanii wanakuja mikutanoni bila kualikwa au kuwepo some sort of organisation..yaani Chadema campaign Yao wanaichukulia poa tuu..yaani wanashindwa kubandika bango la mgombea urais Ktk mpangilio mzuri..stage imekaa tuu unorganized..SASA wanatia Shaka kama ata kuorganise jukwaa au campaign wanashindwa wakipewa japo wizara moja tuu ya ya mifugo na uvuvi WATAWEZA KWELI?
 
Kakudanganya nani wewe! Kama mmeshindwa kuwatumia wasanii ni ninyi CDM ! Wasanii ni sehemu ya hamasa na burudani! Kampeni ni pamoja na burudani !.. Achaneneni na mziki wa CCM hamuuwezi !
Bila wasanii na malori ya kubeba waserebukaji ccm ni wepesi balaa!
 
6.Siasa za utapeli na kuchangishana pesa kwa lazima kila mgombea kuanzia wa udiwani anaomba pesa huku nyama vidogo tena vizivyo na ruzuku hawaombi pesa vyama kana chauma.act.adc na n.k vinajitegemea inakuwaje chadema chama kikubwa chenye rukuzu kubwa kwa muda mrefu kiombe ombe pese
Umemaliza mkuu
 
Mada zako zote za chuki tu, ndio maana huungwi mkono. KUMBUKA 2015 ulifanyika mkutano mmoja. Safari hii wamefanya 3. Hivyo safari hii wamefanikiwa zaidi kushinda 2015.
Nikuhakikishie bila ya mipango ovu inayoendelea ya kuenguana, Chama pendwa TUJIANDAE vizuri. Kushinda kwa hila hakuna baraka
Tangu uzinduzi wa kampain ya uchaguzi mkuu chama kikuu cha upinzania kinachomalizia muda wake kimeonekana kupoteza mvuto na mahudhurio hafifu mbagala, kawe na leo segerea kimepata watoto na wanachama wachache hivyo kuzua taharuki nini kimekikumba chama hiki kilichokuwa kinajaza watu sana .hizi ni nondo kuhusu hili:

1.wabunge wake wengi waliunga juhudi - Takribani wabunge watatu machachari wa kinondoni ,segerea na temeke walivua magwanda wakavaa ukijani hii iliwaboa wanachadema wapigakura walioteseka kuwapigania hasa kule segere mpaka sasa kuna vijana ni waremavu na wautara hata hakwenda kuwaona hospital na badala yake akakimbilia ccm ,ulikuwa ni usaliti wa kipuuzi sana hapa wanawajibu na msubirie kwenye sanduku la kura

2.wagombea wengi ni watu kutoka kanda moja ya kaskazini na sio wazawa wa pwani ni watu wakuja hivyo inaonesha umimi na ukanda ndani ya chama .asia msangi.mdee.lukumay.john mrema,Boniface jacob,poul ataly na huyu ndugu yake mbowe mliomweka kinondoni .hii imeibua hasira kwa wazawa na kuona kuwa mnataka kuleta ukanda .

3.kuwepo wasiwasi wa vurumai mikutanoni -kuna wasiwasi mkubwa hapa dar tangu vurugu za kinondoni na polis kuuwa mwanafunzi kumekuwa na wasiwasi katika shugli za chadema kuwa zimekaa kijinai hivyo saa yoyote kinaweza kunuka .

4.Hakuna jipya ni mwendelezo wa story ambazo hapa dar zilizungumzwa sana kipindi cha tukio la lisu kushambuliwa so watu wanashangaa kuone mwendelezo hii inamaana hii single imechuja ni bora chama kikajielekeza kwenye hoja za maendeleo badala ya tukio la kushambuliwa lisu


5.ujio wa ACT wazalendo hii imefufua wanakaCUF baada ya maalimu kuhamia ACT na kusomba wafuasi hasa mbagala.temeke.ilala na mjini kati ,maana maeneo mengi ya pwani ni CUF ilivyofubaa na sasa wameona ACT ndio alternative yao kwa sasa .

6.Siasa za utapeli na kuchangishana pesa kwa lazima kila mgombea kuanzia wa udiwani anaomba pesa huku nyama vidogo tena vizivyo na ruzuku hawaombi pesa vyama kana chauma.act.adc na n.k vinajitegemea inakuwaje chadema chama kikubwa chenye rukuzu kubwa kwa muda mrefu kiombe ombe pese

USSR
 
USSR na helcopter pia,watu walikuwa wanajaa kwenye mikutano ya wanyanyembe Chadema kushangaa helcopter,kwa sasa pesa za kukodi hawana tena,Ndesamburo katangulia mbele ya haki na Lowasa kawaacha kwenye mataa.
 
Back
Top Bottom