Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Watu wote wenye akili na uzalendo kwa Taifa wamekimbia CHADEMA. Wamebaki watafuna ruzuku na watoa matusi. Bado tu hamjashituka kuwa Watanzania wamechoka siasa zenu za majitaka. Mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali kila mtu anayaona hata watu wa nje lkn ninyi CHADEMA tu ndo hamwoni. Hamtapata hata Halmashauri moja. Wasaliti wakubwa nyie.
 
Hoja za kitoto sana !
ukweli mchungu...kingine huwa mnalazimisha baadhi ya makundi kama Machinga kuhudhuria mikutano yenu...hili nimeshuhudia Dodoma!.
Na wao kwa hofu ya kuhamishwa eneo wanakofanyia biashara hawana namna ikabidi wakubali mkawapa tshirts siku moja kabla ya uzinduzi wenu.
 
mikutano ya ccm bila wasanii na malori si lolote si chochote.
Mnatia huruma, malori mnayo tatizo watu wa kuwabeba ndo hawapo, unaona hilo lori hapo juzi Kawe.
IMG_20200830_065459.jpg
 
Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
 
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia Duniani
Na saccos ya kanda ile vipi? Kumbe wagombea karibu wote wanatoka kanda ileee!! Nilikuwa sijui mleta mada amenifumbua macho!
 
1.wabunge wake wengi waliunga juhudi - Takribani wabunge watatu machachari wa kinondoni ,segerea na temeke walivua magwanda wakavaa ukijani hii iliwaboa wanachadema wapigakura walioteseka kuwapigania hasa kule segere mpaka sasa kuna vijana ni waremavu na wautara hata hakwenda kuwaona hospital na badala yake akakimbilia ccm ,ulikuwa ni usaliti wa kipuuzi sana hapa wanawajibu na msubirie kwenye sanduku la kura
Niliposoma tu hii para wala sikuwa na haja ya kuendelea kusoma ugolo.! Yaani CHADEMA ilikuwa na mbunge Kinondoni? Ilikuwa na mbunge Segerea? Ilikuwa na mbunge Temeke?
 
mikutano ya ccm bila wasanii na malori si lolote si chochote.
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba bashiru kwa kinywa chake alisema hawatotumia wasanii uchaguzi huuu...masanii yalivyo mazombi yamejikusanya yoooote IPO Dodoma..wanashindana kujipendekeza
 
Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
Kadanganye watoto...bure kwa lipi?bashiru alilalamika hadharani kwamba mnawalipa hela nyingi
 
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba bashiru kwa kinywa chake alisema hawatotumia wasanii uchaguzi huuu...masanii yalivyo mazombi yamejikusanya yoooote IPO Dodoma..wanashindana kujipendekeza
Hicho ndiyo chama dume kwenye mkutano wa CCM unaweza kujitangaza kitaifa kwanza mikutano yao lazima iwe live. Sasa uende kwenye Saccos ya Chadema hakuna watu wa kutosha wala mkutano hauonyeshwi live!! Utakuwa na akili kweli kwenda kuonyesha show kwenye mkutano wa saccos??!!
 
Mhu! Hakuna point hapo. Kuna watu wanapiga kura ingawa hawajawahi kuwa kwenye hizo kampeni. Je, kwa hawa unasemaje? Kura ni tofauti na kuona watu wanavyofurika kusikiliza. Kuna watu hawahudhurii kampeni, lakini wanajua watampigia nani kura. Je, kwenye utafiti wako, umelizingatia hilo?
Ndhani kalizingatia vema wengi wanaobaki nyumabani ni wanawake wazee na wstaarabu amabao wote wataipigia CCM
Hawana muda wa kwenda kwenye majukwaa.
 
Back
Top Bottom