Hujitambui mzee, Kinondoni na Temeke walikuwa wabunge wa CUF na Segerea UKAWA walimsimamisha Mtatiro alishindwa na mgombea wa CCM.Kuomba kwa kutembeza debe na kofia ni kutaka msaada kwa yeyote yule atakaye kuonea huruma. Sasa ndio Chadema imefikia hapo? Tumechangisha kwa muda mtindo tofauti kwa muda mrefu lakini sio mtinda kwa hali hii wa kudhalilisha.
Tunakokwenda inaweza kuwa kwa shida sana, kwa kuwa vyanzo vya kuaminika vimepotea na kutafuta vyanzo vipya siku zote sio rahisi kama ambavyo wengi wanavyo weza dhani.
Kama zaidi ya shs million 740 za hakika kila mwezi hazikufanya kazi ya maana, inatakiwa tujue huko mbele chama kitapoteza uwezo wa kusambaza injili ya Chadema kabisa.
Kipimo cha joto cha Chadema huwa huku Kilimanjaro. Hali ni tofauti sana tangu nijiunge Chadema mwaka 1994, utasikia uwongo mwingi mitandaoni lakini tusijenge imani ya matokeo kuwa kama tunavyoaminishwa, tukipata mbunge hata mmoja Kilimanjaro yote lazima tuinue mikono juu.
Wengi wanajaribu kumwelezea Magufuli kama alivyo lakini huku wananchi wameamua kuishi nae na sio Tundu Lissu. Hata DC wa Hai tunamponda sana huku mitandaoni lakini nakuhakikishia wakazi wa huku Hai wana muona ni shujaa wao.
Kama angekuwa ni mtu wa Hai ( Mmachame ) shuguli ya Mbowe ingekuwa imeeisha. This time around there is a big mis match between Hai residents and non residents of Hai who originally from Hai, na wanaoishi Hai wao ndio wapiga kur. Influence ya Non residents this time ni ndogo sanaaaaa na kama haipo.
Usiropoke jambo usilolijua.