Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Sijui kwanini ila nikisikia mtu anaisifia CCM nakerekwa roho vibaya mno

Wewe ulikuwa fisadi au mtoto wa fisadi ndo maana unakerekwa. Watoto wa maskini wanaosoma bure hawawezi kukerekwa
 
Watu wote wenye akili na uzalendo kwa Taifa wamekimbia CHADEMA. Wamebaki watafuna ruzuku na watoa matusi. Bado tu hamjashituka kuwa Watanzania wamechoka siasa zenu za majitaka. Mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali kila mtu anayaona hata watu wa nje lkn ninyi CHADEMA tu ndo hamwoni. Hamtapata hata Halmashauri moja. Wasaliti wakubwa nyie.
 
Mwenye kitabu Cha ilani ya chadema atuwekee hapa
 
Hoja za kitoto sana !
ukweli mchungu...kingine huwa mnalazimisha baadhi ya makundi kama Machinga kuhudhuria mikutano yenu...hili nimeshuhudia Dodoma!.
Na wao kwa hofu ya kuhamishwa eneo wanakofanyia biashara hawana namna ikabidi wakubali mkawapa tshirts siku moja kabla ya uzinduzi wenu.
 
Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
 
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia Duniani
Na saccos ya kanda ile vipi? Kumbe wagombea karibu wote wanatoka kanda ileee!! Nilikuwa sijui mleta mada amenifumbua macho!
 
Niliposoma tu hii para wala sikuwa na haja ya kuendelea kusoma ugolo.! Yaani CHADEMA ilikuwa na mbunge Kinondoni? Ilikuwa na mbunge Segerea? Ilikuwa na mbunge Temeke?
 
mikutano ya ccm bila wasanii na malori si lolote si chochote.
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba bashiru kwa kinywa chake alisema hawatotumia wasanii uchaguzi huuu...masanii yalivyo mazombi yamejikusanya yoooote IPO Dodoma..wanashindana kujipendekeza
 
Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
Kadanganye watoto...bure kwa lipi?bashiru alilalamika hadharani kwamba mnawalipa hela nyingi
 
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba bashiru kwa kinywa chake alisema hawatotumia wasanii uchaguzi huuu...masanii yalivyo mazombi yamejikusanya yoooote IPO Dodoma..wanashindana kujipendekeza
Hicho ndiyo chama dume kwenye mkutano wa CCM unaweza kujitangaza kitaifa kwanza mikutano yao lazima iwe live. Sasa uende kwenye Saccos ya Chadema hakuna watu wa kutosha wala mkutano hauonyeshwi live!! Utakuwa na akili kweli kwenda kuonyesha show kwenye mkutano wa saccos??!!
 
Ndhani kalizingatia vema wengi wanaobaki nyumabani ni wanawake wazee na wstaarabu amabao wote wataipigia CCM
Hawana muda wa kwenda kwenye majukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…