Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

Issue ilikuwa gharama, sasa wasanii wamejitolea kumuunga mkono kipenzi cha watanzania utawazuia? wamejitolea free of charge.
Aaah wapi
 

Attachments

  • FB_IMG_1598701037519.jpg
    56.7 KB · Views: 2
Husijisahaulishe ndugu yangu dar ya leo si ile ya nyuma leo dar kuna maendeleo makubwa yamefanyika hii imewafanya wanadar ex salaam waone kuwa hakuna sababu ya kumdharau magufuli,jiji la dar limefanya maendeleo makubwa ya miundombinu watu wameona nini magu amewafanyia wanataka kulipa fadhila,labda uniambie kwenye ubunge angalau kwa kuwa wanaoishi dar wengi waelewa kwa maana wanajua umuhimu wa Upinzani lakini wengi utawasikia ubunge nampa mpinzani lakini kula yangu ya urais nampa magu.
 
Wasanii wanafata nini bila wasanii jukwaani atabaki bashiru na slow pekee
Kwani nyinyi mmekatazwa kua na wasanii??? Na pia wekeni hata ushahidi ya video inayo onyesha watu wakisombwa, hizi hoja zenu za kijinga ndio maana watu wanazidi kukata tamaa
 
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia Duniani
Ndio hicho Mungu alichokiteua..jomba..na ndio hicho kupitia uongozi mwenyekiti wake amekuepusha wewe na ndugu zako , waume zako, watoto wako uliozaa wajomba zako na Corona..
 
Propaganda tupu!

Jiulize mbona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana mliotumia mabavu watu hawakujitikoza karibu nchi nzima na Dar ikiwemo kama mnakubalika?
 
Hoja za kitoto sana !
Anadhani wasanii wanakuja mikutanoni bila kualikwa au kuwepo some sort of organisation..yaani Chadema campaign Yao wanaichukulia poa tuu..yaani wanashindwa kubandika bango la mgombea urais Ktk mpangilio mzuri..stage imekaa tuu unorganized..SASA wanatia Shaka kama ata kuorganise jukwaa au campaign wanashindwa wakipewa japo wizara moja tuu ya ya mifugo na uvuvi WATAWEZA KWELI?
 
Kakudanganya nani wewe! Kama mmeshindwa kuwatumia wasanii ni ninyi CDM ! Wasanii ni sehemu ya hamasa na burudani! Kampeni ni pamoja na burudani !.. Achaneneni na mziki wa CCM hamuuwezi !
Bila wasanii na malori ya kubeba waserebukaji ccm ni wepesi balaa!
 
Umemaliza mkuu
 
Mada zako zote za chuki tu, ndio maana huungwi mkono. KUMBUKA 2015 ulifanyika mkutano mmoja. Safari hii wamefanya 3. Hivyo safari hii wamefanikiwa zaidi kushinda 2015.
Nikuhakikishie bila ya mipango ovu inayoendelea ya kuenguana, Chama pendwa TUJIANDAE vizuri. Kushinda kwa hila hakuna baraka
 
USSR na helcopter pia,watu walikuwa wanajaa kwenye mikutano ya wanyanyembe Chadema kushangaa helcopter,kwa sasa pesa za kukodi hawana tena,Ndesamburo katangulia mbele ya haki na Lowasa kawaacha kwenye mataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…