Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Najaza hewa ya nitrogen kwenye magurudumu ya magari. Ofisi IPO Bahari Beach ⛱️ 🏖️, karibu sana
 
Nasafirisha magendo toka bweni kwenda maeneo mengine ndani ya jiji hili.
ONYO
Naomba msijaribu hii kitu maana kama nipo hai mpaka sasa ni kumshukuru MUNGU MKUU.
 
Si mnasemaga mafanikio ni Siri?
 
Nasikia kumsifia mgombea wa ccm kunalipa balaaa. Japo mimi siwezi kuifanya hiyo kazi hata kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…