Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.

Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.

Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au nanunua kiwanja kikubwa nakigawa mara mbili nakiweka sokoni.

Coment yako ni muhimu
Natafuta Tender moja tu hata ya Bilioni 1 kipindi hiki cha Uchaguzi halafu sipeleki mzigo kama Angela Kiziga naingia mitini
 
Nafanya kibarua(operator) kiwanda cha nguo X hapa Dsm.
Kwa sasa nalipwa Tsh 4,500 per day.
Naamini safari moja huanzisha safari nyingine, ipo siku my cards will align
 
Umenikumbusha kisa kimoja kuna siku nilikuwa muhimbili nasubir mwendokasi akaja jamaa na mwanae wa kiume age kama 18 ivi yule dogo alikuwa ana majeraha na p.op. mkononi na mguuni.
Nilimwona mtulivu tu gafla akaanza kusoma quran alivyomaliza akaanza niambia mk.. unawasha navua kidgo unifi... huku anataka kushusha suruali nikamuwahi acha upuuzi embu tulia
Akatulia tena kama dk akaanza tena kusoma quran alivyomaliza akamuita baba nitie ata kidole basi watu pale wanashikwa butwaa. Nahisi alilogwa
Kuna vitabu vingine ni vya laana tu tunasingizia ni vya Mungu kumbe siyo, kama huyo dogo alikuwa anasoma Quran basi ni dhahiri kuna sheikh anajilia kisamvu hapo. By the way, dogo alivyokutamani na kukuomba umfile ukamwambia atulie kwanza, ulikuwa unawaza kumpeleka wapi pale Muhimbili?
 
Back
Top Bottom