RIP kwa pesa zote tunazorisk ili kupata nyingine zaidi. Naugulia maumivu ya hasara ya 2.3m ila imenifundisha kitu kwenye nachokifanya.Dili ngumu ngumu, hapa naugulia hasara ya mil 2.5 imenitoka wiki jana
Nicheki pm 😎Nina shida ya plumber nyumbani kwangu 😎, drainage ya master bathroom imeziba, hebu weka contacts hapo tunaohitaji huduma tukutafute 😅
Namfundisha Abdul kusoma na kuandika pamoja na hisabati.....naona jamaa laana za Watanzania za kutafuna hela zao zinamsumbua maana wakati mwingine nikiwa namfundisha anasimama na kuvua nguo hadharani na kuanza kupiga punyeto hadharani / sebuleni huku akilia eti Watanzania hawampendi na wanataka kumuua.Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au nanunua kiwanja kikubwa nakigawa mara mbili nakiweka sokoni.
Coment yako ni muhimu
Nina laki 5 nataka tv inch 65
Kuchunguza Mama Abdul anakunywa chupa ngapi za whiskey kwa sikuUnafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au nanunua kiwanja kikubwa nakigawa mara mbili nakiweka sokoni.
Coment yako ni muhimu
bila shaka utakuwa na shahada ya uzamivu katika ukamaliaMimi ni Afisa Mbashiri Mwandamizi
Upo wapi?Mimi ni mkulima wa mpunga na mahindi na pia ni fundi mabomba 😎
Sawa mtemi ChengeRichmond, Dowans, EPA ndio dili zangu mkuuu, yani kwakifupi sisi ndio wale wahuni tunao bagazwa na toto tundu Humphrey Polepole.
We si uliokoka au ilikua zuga tu ule kondoo.Ulozi