Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Namfundisha Abdul kusoma na kuandika pamoja na hisabati.....naona jamaa laana za Watanzania za kutafuna hela zao zinamsumbua maana wakati mwingine nikiwa namfundisha anasimama na kuvua nguo hadharani na kuanza kupiga punyeto hadharani / sebuleni huku akilia eti Watanzania hawampendi na wanataka kumuua.
 
Kuchunguza Mama Abdul anakunywa chupa ngapi za whiskey kwa siku
 
Mtaani kuna njaa sana, kopesha hela ndogo ndogo Kwa (dhamani) zingatia dhamana maana uaminifu ni mdgo, panga riba ya % unayohtaji wengine wanatoza mpaka asilimia 80% ila mimi natoza riba ya asilimia 50% Kwa mwezi! mtaji wa milioni 3, tu unatosha Kwa mwezi utakuwa unakusanya faida tu, 1.5 million, nikifa siachi urithi
 
Napiga kazi za gypsum, ceiling aina zote za nymbani, ofisini, decorations kama zote, showcase za tv
 
Mimi nipo nakula kwa urefu wa kamba siunajua ndchi yenyewe imejaa wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…