Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

Hivyo vi wanja una dalalia mkoa gani?
 
Umenikumbusha kisa kimoja kuna siku nilikuwa muhimbili nasubir mwendokasi akaja jamaa na mwanae wa kiume age kama 18 ivi yule dogo alikuwa ana majeraha na p.op. mkononi na mguuni.
Nilimwona mtulivu tu gafla akaanza kusoma quran alivyomaliza akaanza niambia mk.. unawasha navua kidgo unifi... huku anataka kushusha suruali nikamuwahi acha upuuzi embu tulia
Akatulia tena kama dk akaanza tena kusoma quran alivyomaliza akamuita baba nitie ata kidole basi watu pale wanashikwa butwaa. Nahisi alilogwa
 
Mimi n Registered Contractor upande wa Mechanical work (Class 6) na Electrical work( Class 5).
Pia nna uza, na kununua pamoja na kutengeneza Generator kubwa na Air compressor. Nnauza spare part za Generators
Pia nnafanya kaz za Installation za Solar Plants
Office ipo Tabata Relin Dar esa salaam. Karibuni sana wateja. 0693296809
 

Attachments

  • 20250818_163727.jpg
    401.5 KB · Views: 33
  • IMG-20250428-WA0013.jpg
    111.3 KB · Views: 35
  • Upgrade-to-the-Power-Command (1).jpg
    19.1 KB · Views: 34
  • 20250726_112837.jpg
    957.4 KB · Views: 28
  • 20250604_145227.jpg
    844.7 KB · Views: 28
  • 20250720_125302.jpg
    802.8 KB · Views: 28
  • 20250706_123023.jpg
    1.4 MB · Views: 27
  • 20250719_180612.jpg
    434.6 KB · Views: 35
  • 20250818_163703.jpg
    308.2 KB · Views: 30
Natengeneza na kuuza dawa za kusafishia uchafu vyooni, masink ya kunawia na tiles.
 

Attachments

  • IMG_20250810_111917_800.jpg
    277.5 KB · Views: 29
  • .trashed-1757726896-IMG_20250814_042803-COLLAGE.jpg
    77.8 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…