Natafuta Tender moja tu hata ya Bilioni 1 kipindi hiki cha Uchaguzi halafu sipeleki mzigo kama Angela Kiziga naingia mitiniUnafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au nanunua kiwanja kikubwa nakigawa mara mbili nakiweka sokoni.
Coment yako ni muhimu
Kuna vitabu vingine ni vya laana tu tunasingizia ni vya Mungu kumbe siyo, kama huyo dogo alikuwa anasoma Quran basi ni dhahiri kuna sheikh anajilia kisamvu hapo. By the way, dogo alivyokutamani na kukuomba umfile ukamwambia atulie kwanza, ulikuwa unawaza kumpeleka wapi pale Muhimbili?Umenikumbusha kisa kimoja kuna siku nilikuwa muhimbili nasubir mwendokasi akaja jamaa na mwanae wa kiume age kama 18 ivi yule dogo alikuwa ana majeraha na p.op. mkononi na mguuni.
Nilimwona mtulivu tu gafla akaanza kusoma quran alivyomaliza akaanza niambia mk.. unawasha navua kidgo unifi... huku anataka kushusha suruali nikamuwahi acha upuuzi embu tulia
Akatulia tena kama dk akaanza tena kusoma quran alivyomaliza akamuita baba nitie ata kidole basi watu pale wanashikwa butwaa. Nahisi alilogwa
Hilo ndio jambo la msingi mkuu, tunatafuta zaidi ya tulichokipotezaMapambano yaendelee mkuu, hakuna kukata tamaa
mfano? tununue wengineNasafirisha magendo toka bweni kwenda maeneo mengine ndani ya jiji hili.
ONYO
Naomba msijaribu hii kitu maana kama nipo hai mpaka sasa ni kumshukuru MUNGU MKUU.
Mbweni kuna bandari bubu ambayo wanashusha bidhaa mbalimbali,kuanzia vyakula hadi vifaa vya umeme kama TV,pasi,redio n.kmfano? tununue wengine
Karibu familia, japo risk ni kubwaNina beti bwashee
Tunaenda sawa, sawiaMimi ni Afisa Mbashiri Mwandamizi
Tupo pamojaaKubeti