mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu
ipo hivi nimeanza biashara na kilimo tangia 2014, nimezaliwa na kulelewa na baba ambaye alikuwa anafanya kilimo na biashara karibu maisha yake yote, so nimekuwa na ABC za shughuli hizo tangia utoto wangu ,, but pamoja na kuwa na ABC za shughuli hizo, na kurithi mali zote za mzee nimestrugle sana, nilifika mahali nilianza kuona marehemu mzee huenda alikuwa anatumia ndumba kufanya hizo shughuli, mbona mim nafanya lakini faida ni kiduchu sana lilikuwa swali langiu la muda mrefu baada ya kutafari sana n kukaa chini nilikuja kugundua nafanya kazi hizo na watu wasio sahihi kabisa na pia nimekuwa bahili sana mtaji kidogo malengo makubwa , baada ya kugundua mwaka 2021 nilipiga chini hawa wawili ambao niliona wananiweka usiku then nikajiri kijana mmoja tena mdogo by that time 23, kiufupi huyu nilimuiba toka kwa mtu mwingine , since nimeanza kufanya kazi naye ghafla nilianza kuona mabadiliko , kazi zangu zilozokuwa zinakwama zikanza kwenda , so atleast nilianza kuona faidaa, mwaka jana nilipata pesa , ila mwaka huu nimepata pesa nzuri kwa maish yangu ni pesa nzuri
, japo kwa mwingine ni pesa ndogo ila kwangu ni pesa nzuri, baada ya kutafakari sana nimegundua hili , mafanikio yanMuliwa pia na watu unaofanya nao kazi wengine watakusaidia wengine ni mizigo tu