Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Usijaribu kuweka sabuni mdomoni
 
Hakikisha mswaki unapita kila sehemu ya mdomo bila kusahau ulimi

Kwa wale wenye meno yaliyotoboka hakikisha unasafisha hilo eneo vizuri kabisa

Ukiweka dawa kwenye mswaki mara ya kwanza ukimaliza sukutua osha mswaki weka tena dawa rudia alafu rudia tena

Kuna ambao wanasema harufu huanzia ndani tumboni jitahidi kunywa maziwa mtindi maji mengi pia tafuna gum za mint
 
Kuna dogo anatoa harufu mbaya mdomoni hadi anakera leo naenda kumpa muongozo.
 
Kuna nyumba niliishi maeneo ya kimara, mshua mmoja mpangaji mwenzangu alikua anapiga mswaki kama mpaka anataka kutapika.

Anatoa sauti kama anakabwa kisa kuzamisha mswaki mpaka kwenye kiungio cha ulimi na utumbo.

Mbaya zaidi dirishani kwangu ndio alikua anapenda kupigia mswaki mana kulikua na bomba la maji.
 
Kwa hiyo now ndo umefahamu kwanini anafanya hivyo baada ya kuupitia huu uzi?!😂
 
Aseeee😅
 
Kuna spray za mdomoni zina harufu tofauti hasa km mint ni nzuri sn kuna mwana nilimuagiza Malaysia. Inakuweka fresh kbs lkn muhimu kinywa kiwe kisafi kwa maana ya kuswaki na kusukutua ulimi ndipo una spray kila baada ya muda fulani.
 
Pitia pia uzi wa mdau 👇Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri
 
Kuna spray za mdomoni zina harufu tofauti hasa km mint ni nzuri sn kuna mwana nilimuagiza Malaysia. Inakuweka fresh kbs lkn muhimu kinywa kiwe kisafi kwa maana ya kuswaki na kusukutua ulimi ndipo una spray kila baada ya muda fulani.
na hizi ni tofauti na mouth washer zile hydrogen peroxide....this is very exclusive kusikia.
 
na hizi ni tofauti na mouth washer zile hydrogen peroxide....this is very exclusive kusikia.
Ni kweli bongo sio popular sana, Ni tofauti inakuwa km kichupa kidogo cha kuspray, zipo kwa brand name tofauti lkn majority ina taste ya mint....unaeza spray kupoteza harufu ya pombe, sigara or any bad smell!!
 
Great mkuu nimekusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…