Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Mm nakumbuka nilikua nafanya kazi kwenye NGO fulani na wazungu kutoka Uingereza ndani ya miezi yote 6 sikuwahi kuwaona wakipiga mswaki na wala vinywa vyao hatukuwahi kuskia vikitoa harufu jmn, kuoga kwenyewe kwa manati wala jasho wala huliskii kwenye miili yao wale viumbe [emoji4]
 
Mswaki piga mara mbili
Jioni
fanya flossing ya kawaida kutumia uzi then piga mswaki
Ukimaliza sukutua na mafuta ya nazi na maji ya karafuu
Usisahau kusafisha sehemu ya mwisho ya koo mpk ma utelezi yaishe
Hapa hata uwe na meno mabovu hutanuka kinywa
Mbona mimi nafanya yote hayo na bado mdomo unanuka sana
 
Back
Top Bottom