Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Mswaki piga mara mbili
Jioni
fanya flossing ya kawaida kutumia uzi then piga mswaki
Ukimaliza sukutua na mafuta ya nazi na maji ya karafuu
Usisahau kusafisha sehemu ya mwisho ya koo mpk ma utelezi yaishe
Hapa hata uwe na meno mabovu hutanuka kinywa
 
Vitu vinavyosababisha harufu ,utando wa fat ktk fizi na ulimi usiosuguliwa, hakikisha ukimaliza kula piga mswaki au sukutua na weak acid kama lemonade, mwisho wa fizi ondoa utando wote unaokuwapo , kunywa maji mengi pi usikae muda bila kuongea
 
kapige Xray,inawezekana una cavity na meno mabovu yaliyotoboka na ndio chanzo cha harufu mbaya, kazibe au kang'oe meno mabovu, ukipiga mswaki uwe unasafisha ulimi na flossing pia
Mkuu umenigusa hapa, nina jino moja limetoboka yan hilo hata uswaki sasahivi baada ya dakika kadhaa ukichukua toothpick upitishe kwa ile shimo,inatoka na harufu Kali sana.

Huduma ya kuziba jino inapatikana kwa kadi za Bima??
 
Yes sir, dawa ni kuling'oa au kuliziba tuu, wakati mwingine daktari anaweza kuwa na option zaidi ya hizo, kwa bima sijui naishi nje ya Tanzania kwa sasa
 
Back
Top Bottom