Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

Namind kuona wewe Ex wangu unajitoa kwenye hilo sakata wakati ndio sababu kuu ya mimi kukuacha
[emoji23][emoji23][emoji23] uwezi kuwa na Mimi wewe.....

Hata ufanyeje...

Unataka kuuza sura hapa....
 
kapige Xray,inawezekana una cavity na meno mabovu yaliyotoboka na ndio chanzo cha harufu mbaya, kazibe au kang'oe meno mabovu, ukipiga mswaki uwe unasafisha ulimi na flossing pia
Na mimi nina hili tatizo

Gharama za xray ni kiasi gani ndugu yangu
 
Back
Top Bottom