Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Sawa sawa mkuu shukrani

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
 
Usiwape bangi aiseee...mnaoshauri bangi hamjui kufuga mbwa..kidogo aliyesema kuwapikia Yale masega ya nyigu Yale sijui yana nini aiseee.pia inategemea na aina ya mbwa kama alivyosema mchangiaji hapo. Mbwa kama G.S ni mafunzo tuu ila hawa pitbull nashauri kama mtu hana uhakika sana na anachofanya asiwajaribu hawa .maana haya ni mabishi, yananguvu kuliko bahati mbaya hayana akili kwa maaana ya si wepesi kushika mafunzo muda wowote wanafanya mauaji heavy
 
Mimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Wawekee mchanga bandani wanakua wanajisaidia upande mmoja tu. Nina German Shepherd wawili nimefanya ivyo na inaenda vizuri. Mi huwa naenda tu kutoa baada ya siku kadhaa
 
Pitbull na rotterweiler kama unajua unajisahau sahau bora ukae nao mbali... Ni wazuri ila wanahitaji umakini kuwalea...

Usije fuga rottaweiler au pitbull au G. S ukawa unawapa makapi ya chakula hahaha watakugeuza wewe uwe chakula chao!!
 
Hapo kwenye kuuliza "mbwa mmemfungia?" Umenikumbusha enzi za utoto ilikuwa kwenda kwa rafiki yangu home kwao, nikifika nje nilikuwa nauliza kwanza "vipi tiger amefungiwa?"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo njia ya kuwavutisha ganja ilinishinda ndo maana nikaja na uzi huu kupata njia nyingine .

Nadhan utakua umeshaipata sasa kupitia michango ya wadau nena zenye manufaa kabisa
 
Hahaha nimeipenda iyo, eti uyatawanye
 
Mkuu samahani naomba nisaidie,mm natamani sana kufuga mbwa km mlinzi lkn tatizo naogopa sanaa mbwaaaa nn nifanye ili kukabiliana hii hali ili mwisho wa siku niweze kufugaa?
 
Mkuu samahani naomba nisaidie,mm natamani sana kufuga mbwa km mlinzi lkn tatizo naogopa sanaa mbwaaaa nn nifanye ili kukabiliana hii hali ili mwisho wa siku niweze kufugaa?
Anza kufuga akiwa mdogo akuzoee na wewe umzoee. Yan unakua unaona mabadiliko yake ndio njia rahisi kwako
 
Anza kufuga akiwa mdogo akuzoee na wewe umzoee. Yan unakua unaona mabadiliko yake ndio njia rahisi kwako

Oohhh,sawa so huyu mdogo awe mmoja au wawili??ila itabd niwe na mtu ht wa kunielekeza namna ya kumlisha, mazingira yake nk
 
Oohhh,sawa so huyu mdogo awe mmoja au wawili??ila itabd niwe na mtu ht wa kunielekeza namna ya kumlisha, mazingira yake nk
Wakiwa wawili itapendeza zaidi. Unawalisha kawaida tu ila hakikisha usiwape nyama mbishi na usiwabadilishie chombo cha kulia cha msingi tu viwe visafi. Mi nina order na butcher baadhi wananileteaga nyama kwenye kindoo naziweka kwenye mfuko then naweka kwenye fridge nakua nachomoa mfuko mmoja naichemsha nawapikia na ugali wanakula wanapotoka bandani usiku saa 2-4. Na ni mara moja tu kwa siku.
 
Reactions: Pep

Shukranii sana mkuuu,nikirudi nitawaambia madogo waanze kuandaa banda tayari kwa mlinzi mpya[emoji3]
Ahsante
 
Wawekee mchanga bandani wanakua wanajisaidia upande mmoja tu. Nina German Shepherd wawili nimefanya ivyo na inaenda vizuri. Mi huwa naenda tu kutoa baada ya siku kadhaa
Mkuu awa mbwa umewalea kijinga Sana...... Mm mbwa awanyi Kwenye banda na sehemu Yao YA kunya daily ni moja..... Matatizo YA mbwa kunya Kwenye banda wanakuwa wachafu Alafu wakikojolea Yale mavi yanatengeneza bacteria wanaozalisha kupe.... Mm nafuga mbwa kuanzia utoto wangu hadi Sasa Nipo early 30..... Mbwa akiwa na tabia YA kunya bandani namfundisha akiwa na kichwa ngumu namuuza au kugawa.... Mambo YA kuzoa mavi bandani yanakera Sana na ukisafiri wale unaowaachia jukumu awawez kufanya kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…