Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Hahaha nimeipenda iyo, eti uyatawanye
Ww kama unafuga mbwa anakunya bandan yakawanye uone kama atalala... Atasimama kutwa akichoka atakuwa analia kulalamika banda chafu.... Mbwa ni mnyama msafi Sana japo anakula vilivyooza....
 

Mkabidhi kwa wasiojulikana akae nao kwa muda, atakuwa in balaa mkuu. Atakuwa hodari wa kuteka watu, kuwafutilia na usishangae akiwa na uwezo wakumiminia mturisasi.
 
Umesema vizuri ila naomba nikusahihishe kidogo. Pitbull/Rottweiler sio wakorofi shida mbwa unavyo muanzisha ndivyo atakavyo kuwa. Rott ni mbwa anaweza changanyika na mbwa yeyote kikubwa uanze nae bado mdogo na uwafanyie maelewano wanakuwa pamoja bila ya shida kabisa. Me nafuga gsd na maltes na hawana shida,na mwenzangu anafuga Rott na gsd hakuna shida
 
Mkuu hata mimi nilitaka niseme hivyo hivyo
Hapana kukata mkia sio suhisho la kuleta ukali kwa mbwa,1. Mbwa inategemeana na ukoo alio toka,2. Mbwa inategemeana na alivyo anzishwa tokea mdogo,3.kuna mafunzo na wafundishaji maalumu wanafunza Mbwa na anakuwa sawa kwa kadiri ya matumizi unayoyahitaji
 
siri ya mbwa ni kumweka mbali na watu usimfanye awazooee watu mfungie bandani usk mtoe !mie bangi simpi ila mkali hatar
Kumbuka mbwa anahitaji socialism kwakuwa ukimweka mbali na watu kila mara huwa anakuwa anahasira kila mara hata amri hasikii, mbwa ni lazima aandaliwe kwa kadiri ya matumizi unayoyahitaji
 
Mimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Mbwa wako wanaumri gani?mchana huwa unawafungulia kujisaidia?unawasafishia banda mara ngapi kwa siku?unawaogeshaje mbwa wako?unawapa chakula ndani ya banda au nnje?nijibu hapo kwanza ndipo tutajua upungufu upo wapi plzz
 
Umesema sawa kabisa nakupongeza sana kwa ufafanuzi wako mzuri,nakuomba tuendelee kuwaelimisha wenzetu juu ya ufugaji wa Mbwa,ubarikiwe
 
Mbwa wako wanaumri gani?mchana huwa unawafungulia kujisaidia?unawasafishia banda mara ngapi kwa siku?unawaogeshaje mbwa wako?unawapa chakula ndani ya banda au nnje?nijibu hapo kwanza ndipo tutajua upungufu upo wapi plzz
Wanamiaka 2.5, mchana si wafungulii bali usiku tu saa nne, nawaogesha kila weekend, nawapa chakula nje ya banda.

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu hiyo shida wahi kumwona vet haraka iwezekanavyo,kwa kwenye mtandao haitibiki utampoteza huyo plzz
 
Kama upo dar mpeleke kwa dk sinare pale migombani st fasta
 
Huyo mtafute dakitari wa mbwa amekosa vitamini bila Shaka bado ni mdogo kiumri.. Kuna chanjo YA pavo uenda ikawa aujampatia.... Kiujumla mbwa inatakiwa hapate chanjo Kila baada YA miezi 3 minyoo na vitamini
Ndugu hiyo sio parvo. Parvo anahara damu na achukuwi raund,huo ni ugonjwa huwa unawapata mbwa na akichelewa kuwaona vet atampoteza
 
Mkuu hata pit bull anafundishika shida wengi tunakariri niwakali asilia ila inategemeana na utakavyo muanza toka unapomchukiwa akiwa na miezi2. Hata Rott ni mtawala sana ila nae utakavyo anza nae ndivyo atakavyo kuja
 
Mkuu samahani naomba nisaidie,mm natamani sana kufuga mbwa km mlinzi lkn tatizo naogopa sanaa mbwaaaa nn nifanye ili kukabiliana hii hali ili mwisho wa siku niweze kufugaa?
Mbwa wa ulinzi ungependa kufuga mbwa gani?
 
Mbwa wako wana umri gani?mbwa unaweza hata kumlisha mara 2 na akawa sawa kabisa kikubwa ni kufwata kiasi maalumu cha kumlisha mbwa,unga wa mahindi sio mzuri kwa mbwa
 
Shukranii sana mkuuu,nikirudi nitawaambia madogo waanze kuandaa banda tayari kwa mlinzi mpya[emoji3]
Ahsante
Unapo andaa bada uwe unaangalia sehemu nzuri na ukumbuke mbwa anahitaji hewa,anatakiwa akae mahali aweze kuangalia mazingira ya nyumba vizuri kwaajili ya ulizi,banda liwekewe sehemu ya kumwaga mikojo kwa nyuma ili isisimame ndai
 
Mkuu hata pit bull anafundishika shida wengi tunakariri niwakali asilia ila inategemeana na utakavyo muanza toka unapomchukiwa akiwa na miezi2. Hata Rott ni mtawala sana ila nae utakavyo anza nae ndivyo atakavyo kuja
Kweli unahisi Mimi nimekariri hii ni fani yangu vet..hawa pitbull nimekuwa nao unadhi kwann pitbull hawatumiki zaid kwenye ulinzi na usalama kwa askari?
 
Wanamiaka 2.5, mchana si wafungulii bali usiku tu saa nne, nawaogesha kila weekend, nawapa chakula nje ya banda.

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
1,mbwa usimwogeshe kila wiki ni kosa,2unapompa chakula nnje unapaswa umsimamie ukimzoesha inakuwa hatari akirushiwa chakula atakila,3mbwa hupashwi kumfungia bandani kutwa mbwa anapashwa kufanyishwa matembezi kila jioni akiwa ktk mkanda maalumu.3mbwa ukiwasikia wanalia bandani huku wakikwangua mlango ujuwe anataka kujisaidia na unapashwa kutenga muda mchana unawatoa na kuwazungusha kwa 15 dk na kumrudisha bandani akiuzoea huo muda hatajisaidia ndani
 
Ahsante sana, mbwa anaogeshwa vp?
 
Kweli unahisi Mimi nimekariri hii ni fani yangu vet..hawa pitbull nimekuwa nao unadhi kwann pitbull hawatumiki zaid kwenye ulinzi na usalama kwa askari?
Mkuu sijasema unakariri wala sijabisha ila kufwatana na ufugaji na maelezo ya.wataalamu na wakufunzi mbwa anajengwa tabia na mbwa anarithi tabia,hata me ni mfugaji wa mbwa mda mrefu natumai ni kuchanganya ujuzi ktk hiitasnia ili tuweze kusaidia wengine nao wafikie leo,sija pinga mawazo yako ina ninawenzangu wanafuga pitt na Rott na wamewaandaa vyema na wako vyema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…