Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Huwa napenda kuwa alone ili nilieeeeee.......mpka hasira zinapoa

Ila Mimi nikikasirika haswa hata km hasira km ikiisha huwa nakuwaga mpolee yaani unaweza ukadhani mpka baada ya siku 2,3 HIV ndio uchangamfu unrudi
Just smoke a blunt
 
Nikikasirika huwa naingia u tube naweka earphones nasikiliza meditation musics
Nimekuwa nikifanya hivi tangu mwaka 2016..

Hii imenisadia na nimebadilika sn,hadi washkaji samtaimz hunitania Kwa kuniita mtakatifu[emoji23][emoji23] maana hata Jambo la kuchukiza kiasi gani nalichukulia poa sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa kike mnapenda sana hii sijui kwa nini
 
Kwenye movie wanapigaga ngumi ukutani,au kwenye kioo Cha gari [emoji4][emoji4][emoji4] movie bwana
Nadhani ata wezentu wa uko dunia ya kwanza wanapenda hivi kuvunjavunja asset za ndani
 
Nikikasirika huwa naingia u tube naweka earphones nasikiliza meditation musics
Nimekuwa nikifanya hivi tangu mwaka 2016..

Hii imenisadia na nimebadilika sn,hadi washkaji samtaimz hunitania Kwa kuniita mtakatifu[emoji23][emoji23] maana hata Jambo la kuchukiza kiasi gani nalichukulia poa sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Safi hii itakuondosha na baadhi ya magonjwa
 
Kunywa pombe aiseeee.....
Ukipombeka unajiweka temporality out of msongo...😎
 
Back
Top Bottom