Mkuu kama unaacha wewe acha tu,,,, ila make sure sababu umeiweka Clear na mwenzako ameielewa...
Karma sheria yake huwa iko hivi "Jambo usilopenda wewe kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako"...so endapo utapingana na hio rule basi Karma inahitimisha kuwa "Malipo ni papahapa Duniani"...ikimaanisha nawewe in One way or the other utakuja kulipwa kama ulichofanya.
So kama hujavunja hio kanuni wewe acha tu na hakuna cha karma wala takataka yoyote,,,,Endapo utaona kama ulichofanya ,,nawewe ukifanyiwa utaona sawa basi karma haifanyi kazi hapo....
Baada ya haya maelezo bado unatishika??