Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Mpange siku mkapime afya afu cheza mchezo na muhudumu ionekane una ngoma...huo ndo utakua mwisho wenu.
Haisaidii, waweza kwenda na mtu kupima mkaulizwa mmoja wenu akiwa +ve itakuwaje. Akajibu tutaendelea kuwa pamoja ila kwa tahadhari.
 
Mbona kila mtu anasisitiza sana kuhusu karma, mnatutisha wengine tunaotaka kuacha.

Mkuu kama unaacha wewe acha tu,,,, ila make sure sababu umeiweka Clear na mwenzako ameielewa...

Karma sheria yake huwa iko hivi "Jambo usilopenda wewe kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako"...so endapo utapingana na hio rule basi Karma inahitimisha kuwa "Malipo ni papahapa Duniani"...ikimaanisha nawewe in One way or the other utakuja kulipwa kama ulichofanya.

So kama hujavunja hio kanuni wewe acha tu na hakuna cha karma wala takataka yoyote,,,,Endapo utaona kama ulichofanya ,,nawewe ukifanyiwa utaona sawa basi karma haifanyi kazi hapo....

Baada ya haya maelezo bado unatishika??
 
Nipo natafakari hapa , matokeo ya jambo moja ambalo limeshatokea yatakuwaje hapo baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom