Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Teach people how to treat you.Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Wape notisi wote,ukiwa huko tangaza nyumba iko wazi,ukipata wapya,wape masharti ya jinsi ya kulipa Kodi,chagua mmoja wapo awe mkasanyaji wako,hata ikibidi mlegezee Kodi kidogo,kujenga mshikamano nae!Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
weka system ya ku lock milango kwa kuhesabu siku, na pia luku system inayo ruhusu kuweka wewe tu.Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Zile bilioni zako ziliisha?Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
Kama una wapangaji wengi ni shida lakini mpangaji mmoja ni rahisi. Binafsi huwa namkumbusha mwezi mmoja kabla ya muda wa kodi kwisha lkn wakati mwingine anatuma tu mwenyewe hata bila kumkumbushaWakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
ziliishia bar na watoto wazuri si unajua dunian tumekuja kula bataZile bilioni zako ziliisha?
Nampenda sana baba angu, Kuna siku nta andika thread kwa ajili yake...Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodi
na watu kama huyo mzee wanabarikiwa kweli kweli uwez kuta analialia shida shida hovyoNampenda sana baba angu, Kuna siku nta andika thread kwa ajili yake...
Yule mzee ukipanga kwake na UKAWA MTU MZURII UTAKAA BUREEEE YAANI HAJUI KUDAI KODI..
Mzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeeena watu kama huyo mzee wanabarikiwa kweli kweli uwez kuta analialia shida shida hovyo
mwenye nyumba hata nauli huna ya kuifikia nyumba yako asee hiyo nyumba uza mana umewah sana kujengaWakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali