Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu

Mtu kutegemea kodi ili aishi sio tatizo ni akili, kama unataka kulala nyumba ya bure nenda kaishi kwa babaako au tafuta mume uolewe. Hakuna dezo maisha haya
 
Weka sura ya kazi usicheke na wowote usisikilize tantalila ni either walipe au waondoke matatizo yao hayakuhusu!!
Ukiwapa dakika moja tu ya kuwasikiliza umekwisha utasamehe Hadi kodi!
mimi nitatafuta nyumba za hivyo kisha silipi alafu nafukuzwa naenda kwenye nyingine. maana yake kama kodi miezi 3 nalipa yote 3. alafu 3 nyingine silipi nasubiri nifukuzwe
 
Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
Sio kwa mapovu hayo..😆😁😄

Binafsi sipendii vya Bureeeee mengineyo nimeeleza mzee wangu Huwa kwake watu Wana kaaga bureeeee kabisa.

Yule mzee ame hustler anayajua maisha hivyo Huwa ana UTU SANAA SANAAAAAA

Mpaka Huwa tunamwambia lakini habadilikii...yeye ukikaa nae vizuri kama kijana utakaa BUREEEE mpaka ukajenga na uka hamia kwako
 
Nyumba nzuri waga ni gesti au fremu, kupangisha watu lazima uwe mvumilivu.
Kuna nyumba moja ni kama nilishamuweka mtu aiangalie. 😁
Mkali yule, ikifika kulipa kodi ananiwahi na excuse. Atalipa hapo kwa muda anaotaka yeye.
Ila uzuri waga analipa, nahisi ni lige tuu inamsumbua.
Aiseee
 
😹😹😹 Aiseee mi siwezi..
Kuna mpangaji alikaa mwaka mzima hajalipa kodi na haonekani. Simu zake hazipatikani.

Siku amekuja kurudi napewa taarifa alikuwa migodini na kachafuka pesa. Nikajua atanitafuta anipe pesa zangu za kodi..!!

Huwezi amini alimaliza pesa zote kwa starehe na hajalipa kodi.. nilichofanya nilimtolea vitu vyake nikavijaza store..!! Kaka yake alikuja akavichukua hata mia mbovu sikuambulia..!! Nikasamehe 😥
Wanawake wengi wana huruma sana hawawezi kushurutisha mpangaji.
Wife anawaulizaga wapangaji wake "mna uhakika mtapata kodi mapema? Kama hakuna uhakika mniambie mapema..."
Nikimuuliza ndivyo utaratibu wa kudai ulivyo? Anajibu kirahisi tu "una watoto wamepanga na wenyewe huko,ukiwanyanyasa hawa na wenyewe watanyanyasika huko"...
Imebidi tu kila mtu adai wapangaji wake sasa
 
Mzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeee

Hata hapa dar Kuna watu Wana nyumba zao na hawana watu wa kukaa hivyo ukibahatika unakaa bureeeee kabisa kwenye mjengo wa maana..

Ila Kuna watu wanategemea Kodi kuishii ogopa sana hao watu ukipanga kwake utajutaa
Mkuu tumejenga ili kupata chochote siyo kutoa msaada
 
Back
Top Bottom