Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Wabongo kila kitu wanakichukulia simple na wepesi wa kuridhika..!!

Mmbongo akipata pesa ya kula basi anabweteka. Hata itokee kazi kwa muda huo hafanyi mpaka kesho shibe ikiisha..!!

Na ndio nchi pekee mtu anaweza kwenda kwa jirani kudowea chakula. Ujamaa wa Nyerere umetuharibu sana..!
Ahaaa
 
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodi🙆‍♂️🙆‍♂️ inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.

Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani🤣
Hauwezi kujisahau tarehe ya kulipa kodi ikifika. Sema tu hela ya kodi inauma
 
We Kumah sikia nikufundishe usipangie watu maisha ama pesa zao watumiaje umesikia we Kumah? Mbona wengine wanategemea Kumah kuwapa pesa na hatuwajudge. ..watu wakitegemea investment zao mnapata nyongo kumamayo wewe, na wewe tafuta pesa kama ni rahisi ujenge na ufanyie unavyotaka hata ukiamua liwe danguro la Malaya ni wewe hatukupangii...acheni mipango na pesa za watu makuma nyie. Eti wakikuambia Sina ..eti ni service, makuma nyie hizo ni biashara ..mbona gesti hausemi kua mtu akienda akikosa hela wenye gesti wamvumilie...mnataka vya Bure makuma nyie
 
Mmoja juzi mdada nimemuambia Kodi ijayo nataka ya miezi sita, kaninunia! Wapangaji ni mtihani sana!
Wapangaji ni pasua kichwa jamani, na hasa upate ambae sio muelewa na wengine wanaharibu nyumba tena makusudi tu
 
Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Tafuta mpangaji mmoja anayejitambua (Mwalimu), Mpunguzie Kodi halafu mtambulishe kuwa yeye ndiye atakusanya kodi...
Kama kodi ni ndogo wanayolipa unaweza kumtaka alipe nusu; ila kama ni kubwa pengine alipe 75% ya kodi ila anakuwa msimamizi wa nyumba...
na kukupa taarifa. Mpangaji yeyote akiwa na changamoto anareport kwake... nk nk
 
Kama nyumba ipo mkoa wa Katavi. Nipe hiyo kazi ya kusimamia, nitakuwa nakutumia pesa yako kwa uaminifu mkubwa.
 
Kwenye Lodge mnafanya nini kudhibiti wafanyakazi wasio waaminifu wanauza vyumba halafu haweki rekodi kwenye daftari?
Milango ya kufungua kwa kadi inaweza kusaidia ?
Upo uwezekano wa kufungua milango kwa Code ambayo inakuwa inasomq na kwa mmiliki pale mteja anapoingia.?
Baadhi ya sehemu funguo wanaweka kwenye bahasha, jioni ukikuta bahasha imechanwa unajua tuu Hapa mteja kaingia, bahasha unagonga na muhuri
 
We Kumah sikia nikufundishe usipangie watu maisha ama pesa zao watumiaje umesikia we Kumah? Mbona wengine wanategemea Kumah kuwapa pesa na hatuwajudge. ..watu wakitegemea investment zao mnapata nyongo kumamayo wewe, na wewe tafuta pesa kama ni rahisi ujenge na ufanyie unavyotaka hata ukiamua liwe danguro la Malaya ni wewe hatukupangii...acheni mipango na pesa za watu makuma nyie. Eti wakikuambia Sina ..eti ni service, makuma nyie hizo ni biashara ..mbona gesti hausemi kua mtu akienda akikosa hela wenye gesti wamvumilie...mnataka vya Bure makuma nyie 🚮 kama hutaki kulipa Kodi Jenga nyumba yako ukae kumamayo
,, hahaha
 
Back
Top Bottom