Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
Bitter Truth
 
Kwenye Lodge mnafanya nini kudhibiti wafanyakazi wasio waaminifu wanauza vyumba halafu haweki rekodi kwenye daftari?
Milango ya kufungua kwa kadi inaweza kusaidia ?
Upo uwezekano wa kufungua milango kwa Code ambayo inakuwa inasomq na kwa mmiliki pale mteja anapoingia.?
ndio, uki confugure vizuri card zako na ku set rules vizuri unamaliza michezo yote.. hakuna namna atakuigia usijue
 
Fukuzilia mbali boresha nyumba fanya airbnb weka manager mwajiriwa mpe kPI's akishindwa una-fire ajiri mwingine hadi upate mtu sahihi! Hutajuta
 
😹😹😹 Aiseee mi siwezi..
Kuna mpangaji alikaa mwaka mzima hajalipa kodi na haonekani. Simu zake hazipatikani.

Siku amekuja kurudi napewa taarifa alikuwa migodini na kachafuka pesa. Nikajua atanitafuta anipe pesa zangu za kodi..!!

Huwezi amini alimaliza pesa zote kwa starehe na hajalipa kodi.. nilichofanya nilimtolea vitu vyake nikavijaza store..!! Kaka yake alikuja akavichukua hata mia mbovu sikuambulia..!! Nikasamehe 😥

Wabongo hawana tabia ya kulipa madeni bila pressure sembuse walipize mauaji ya ndugu zao, thubutu!
 
ngombe ya maskin haizai na ikizaa inazaa dume unategemea nyumba ikupe hela na utake ufanikiwe hiyo akili matope ndio mana mnalia lia na maisha jenga nyumba weka geust,fugia kukua, au mpangishe mtu mmoja kwa mkataba maalumu hizo ndizo biashara za nyumba ila ukisema wapangaji 2+ hiyo ni huduma kwamb kesho wakikwambia sina unakuwa mvumilivu ktgm kd n laan
We Kumah sikia nikufundishe usipangie watu maisha ama pesa zao watumiaje umesikia we Kumah? Mbona wengine wanategemea Kumah kuwapa pesa na hatuwajudge. ..watu wakitegemea investment zao mnapata nyongo kumamayo wewe, na wewe tafuta pesa kama ni rahisi ujenge na ufanyie unavyotaka hata ukiamua liwe danguro la Malaya ni wewe hatukupangii...acheni mipango na pesa za watu makuma nyie. Eti wakikuambia Sina ..eti ni service, makuma nyie hizo ni biashara ..mbona gesti hausemi kua mtu akienda akikosa hela wenye gesti wamvumilie...mnataka vya Bure makuma nyie 🚮 kama hutaki kulipa Kodi Jenga nyumba yako ukae kumamayo
 
Sio kwa mapovu hayo..😆😁😄

Binafsi sipendii vya Bureeeee mengineyo nimeeleza mzee wangu Huwa kwake watu Wana kaaga bureeeee kabisa.

Yule mzee ame hustler anayajua maisha hivyo Huwa ana UTU SANAA SANAAAAAA

Mpaka Huwa tunamwambia lakini habadilikii...yeye ukikaa nae vizuri kama kijana utakaa BUREEEE mpaka ukajenga na uka hamia kwako
Sasa wengine wanatumia wema huo kama ndio Haki yao kama Kumah huyo Hapo juu mr pipa
Ila kiuhalisia tunajenga taifa la ******* sana kama ******* hao Mr pipa, mtu unajiita pipa ..kweli unakua pipa ...tena pipa la mavi ...wenzetu ULAYA hio ni responsibility, umepanga unatakiwa ulipe tena bila kushurtishwa, ni jambo la kawaida sana na inawafanga wenzetu ULAYA wanakua wako bise na kufanya kazi mana you have the bills to pay...
 
Bitter Truth
Wenzetu ULAYA ndio mana wanafanikiwa sana hua ni responsibilities lazima watimize, unafanya kazi, unalipa bills, unakaa nyumba ya kupanga unalipa Hadi unakusanya pesa unaenda kununua yako,
Sisi huku mtu anaona ni Haki yeye ahurumiwe akae Bure sababu Hana pesa upumbavu sana huu, halaf wanakuja na cheap justification kua eti landlord anategemea nyumba yake kupata pesa. Walitaka ategemee nini , makalio?
 
sisi ni wale ambao tunakopa afu tunaweka bond nyumba hela tunaenda pigia maji na kesho ikiuzwa tuna maliziwa kahela kaliko bakia kwa mkopeshaji tunamwachia nyumba tunaenda kupanga miez 6 baadae tunajenga nyingine huwa mifuko haitobokag kwakwel ili inapumzishwa
Ah wapi wewe acha kutupanga hapa. Juzi ulikua unatafuta waganga wa ndagu mara maisha magumu. Pumbavu.
 
Wenzetu ULAYA ndio mana wanafanikiwa sana hua ni responsibilities lazima watimize, unafanya kazi, unalipa bills, unakaa nyumba ya kupanga unalipa Hadi unakusanya pesa unaenda kununua yako,
Sisi huku mtu anaona ni Haki yeye ahurumiwe akae Bure sababu Hana pesa upumbavu sana huu, halaf wanakuja na cheap justification kua eti landlord anategemea nyumba yake kupata pesa. Walitaka ategemee nini , makalio?
Nakuunga mkono ni utahira
 
Sasa wengine wanatumia wema huo kama ndio Haki yao kama Kumah huyo Hapo juu mr pipa
Ila kiuhalisia tunajenga taifa la ******* sana kama ******* hao Mr pipa, mtu unajiita pipa ..kweli unakua pipa ...tena pipa la mavi ...wenzetu ULAYA hio ni responsibility, umepanga unatakiwa ulipe tena bila kushurtishwa, ni jambo la kawaida sana na inawafanga wenzetu ULAYA wanakua wako bise na kufanya kazi mana you have the bills to pay...
📌Planet Data bundles was Here
 
We Kumah sikia nikufundishe usipangie watu maisha ama pesa zao watumiaje umesikia we Kumah? Mbona wengine wanategemea Kumah kuwapa pesa na hatuwajudge. ..watu wakitegemea investment zao mnapata nyongo kumamayo wewe, na wewe tafuta pesa kama ni rahisi ujenge na ufanyie unavyotaka hata ukiamua liwe danguro la Malaya ni wewe hatukupangii...acheni mipango na pesa za watu makuma nyie. Eti wakikuambia Sina ..eti ni service, makuma nyie hizo ni biashara ..mbona gesti hausemi kua mtu akienda akikosa hela wenye gesti wamvumilie...mnataka vya Bure makuma nyie 🚮 kama hutaki kulipa Kodi Jenga nyumba yako ukae kumamayo
😹😹😹 Kumekucha landlord kachafukwa..!!
 
Sasa wengine wanatumia wema huo kama ndio Haki yao kama Kumah huyo Hapo juu mr pipa
Ila kiuhalisia tunajenga taifa la ******* sana kama ******* hao Mr pipa, mtu unajiita pipa ..kweli unakua pipa ...tena pipa la mavi ...wenzetu ULAYA hio ni responsibility, umepanga unatakiwa ulipe tena bila kushurtishwa, ni jambo la kawaida sana na inawafanga wenzetu ULAYA wanakua wako bise na kufanya kazi mana you have the bills to pay...
😹😹😹😹 khaaaa..!!!
 
Wabongo hawana tabia ya kulipa madeni bila pressure sembuse walipize mauaji ya ndugu zao, thubutu!
Wabongo kila kitu wanakichukulia simple na wepesi wa kuridhika..!!

Mmbongo akipata pesa ya kula basi anabweteka. Hata itokee kazi kwa muda huo hafanyi mpaka kesho shibe ikiisha..!!

Na ndio nchi pekee mtu anaweza kwenda kwa jirani kudowea chakula. Ujamaa wa Nyerere umetuharibu sana..!
 
Back
Top Bottom