Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Mzee wangu kweli ni mtu muungwana sana na Huwa hategemei kodii za nyumba zake..anajua maisha na Kuna wengi TU Wana kaa kwenye nyumba zake bureeeee

Hata hapa dar Kuna watu Wana nyumba zao na hawana watu wa kukaa hivyo ukibahatika unakaa bureeeee kabisa kwenye mjengo wa maana..

Ila Kuna watu wanategemea Kodi kuishii ogopa sana hao watu ukipanga kwake utajutaa
hatarii mimi kuna jamaa yangu kapewa nyumba pia analipwa kwa mwenz 25k kwa kukaa kulinda hiyo nyumba na kaambiwa aoe humo humo ili tu nyumba iwe na ulinzi na huyo mwamba ananyumba karibia mikoa yote, sasa umeona wanavyobarikiwa hawa watu
 
Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
 
Jamaa yako ameajiriwa kama mlinzi na nyumba haikujengwa kwa ajili ya kupangisha.
Nyumba za kupangisha ni biashara kama biashara zingine tu.
NHC wanapangisha na wanalipwa kwa wakati,kuichelewesha kidogo kodi wanakukopesha unakutana na riba juu.
Tatizo tunapangisha hata ambao hawaja fikia hadhi ya upangaji
 
Hao wamekuzoea,kuwa trict,wapigie simu kila Mmoja kwa wakati wake waambie waachie nyumba ndani ya siku tatu kwa sababu wameshindwa kuzingatia masharti,Hata kama Kuna anayetaka kulipia mwambie kabisa Kodi sihitaji nachotaka ni nyumba yangu kapange sehemu nyingine itakayokufaa ,waambie kabisa hiyo ni biashara hukujenga kwa ajili ya Msaada hivyo wanapaswa kuheshimu biashara yako,anayetaka kukulipa usikubali mwambie aende akapange kwingine,then tafuta wateja wape mkataba ukitaka kuhama toa taarifa kabla ya mwezi Mmoja Kodi Yako kuisha,Lipia Kodi mapema bila kuvusha siku ,usipende wakusome tabia Yako wala kujieleza Sana kwao juu ya maisha Yako.Mwisho weka mpangaji anayejiyambua,mwenye shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato na sio mkaa kibarazani Wa kuhama na kivuli cha jua.
 
Kwahio saivi mifuko imetoboka
sisi ni wale ambao tunakopa afu tunaweka bond nyumba hela tunaenda pigia maji na kesho ikiuzwa tuna maliziwa kahela kaliko bakia kwa mkopeshaji tunamwachia nyumba tunaenda kupanga miez 6 baadae tunajenga nyingine huwa mifuko haitobokag kwakwel ili inapumzishwa
 
Weka sura ya kazi usicheke na wowote usisikilize tantalila ni either walipe au waondoke matatizo yao hayakuhusu!!
Ukiwapa dakika moja tu ya kuwasikiliza umekwisha utasamehe Hadi kodi!
 
Njia nzuri ni kuweka acaunt ya bank wawe wanalipa bank na km ikiwezekana zaidi weke na lipa namba au namba yako ya simu wawe wanalipa uko ila ivyo vyote vitawezekana km utaweka msisamizi alie karibu ambae kaz yake itakua ni kufuatilia wale wote ambao hawajalipa na km watalipa bas watamtumia txt za malipo yeye atawakilisha kwako

Onyo usiweke msimamizi afu uyo msimamizi akawa anapewa pesa cash utaongeza tatizo na utagombana na msimamizi, pesa sio kitu ya kumpa mtu akuookelee
 
Sasa kwanini upende vya Bure? Tunatengeneza taifa Gani? Yan kabisa wewe una uwezo wa kulipa ila unataka kukaa Bure? Huo usenge. Halafu pia je ni vibaya mtu kutegemea Kodi ya nyumba yake? Kajenga kwa jasho lake, au anajua amejengaje, wewe unaleta mapumbu unakaa halafu muda wa kulipa Kodi ukifika hulipi au unaanza stori ...mjini hapa unataka kukaa nyumba za watu bure...zile ni investment kama investment nyingine heshimuni biashara na uwekezaji za watu. Kama mtu hutak kusumbuliwa na wewe Toka jasho Hadi la ****** ujenge yako uishi raha mstarehe..mbona simpo tu...usenge usenge tu kupenda vya Bure *****
ngombe ya maskin haizai na ikizaa inazaa dume unategemea nyumba ikupe hela na utake ufanikiwe hiyo akili matope ndio mana mnalia lia na maisha jenga nyumba weka geust,fugia kukua, au mpangishe mtu mmoja kwa mkataba maalumu hizo ndizo biashara za nyumba ila ukisema wapangaji 2+ hiyo ni huduma kwamb kesho wakikwambia sina unakuwa mvumilivu ktgm kd n laan
 
Jamaa yako ameajiriwa kama mlinzi na nyumba haikujengwa kwa ajili ya kupangisha.
Nyumba za kupangisha ni biashara kama biashara zingine tu.
NHC wanapangisha na wanalipwa kwa wakati,kuichelewesha kidogo kodi wanakukopesha unakutana na riba juu.
Tatizo tunapangisha hata ambao hawaja fikia hadhi ya upangaji
sahihi mkuu ila naongelea wale ambao haelewi amejenga kwaajili ya kipi yaan kwenye biashara hayupo yupo kwenye huduma ila anai force iwe biashara
 
Kazi mnayo!! ndio madhara ya kutegemea kodi ili muish hata utu hamna ni ubinafs tu kwann msingezifanya geust bas fugien kuku hayo mavyumba yenu
Ona naye huyu!
Hapo umetoa msaada gani wa mawazo hapo!

Kwani mwenzako kakwambia kajenga mabanda ya kufugia kuku?

Wenye nyumba wanaheshimika hata ulaya ndiyo mana wanaitwa ma landlord.

Nyumba ni uwekezaji mzuri sana bwashe.
 
Jitahidi kuwaelewa maisha magumu.
Mimi ndo wananionea mpangaji akishaanza kujieleza matatizo yake basi namwambia ukipata utaleta..!!
 
Njia nyepesi ni kuweka mfumo wa kuwazimia umeme hata wakiwa nao kwenye luku zao.

Mtu ambaye anakusumbua. Unaanza kumpiga kikwazo cha kumzimia umeme kwake.

Kama upo Dar nenda katembelee nyumba za Tajiri Kishimba. Zipo buza kwa mama kibonge.

Utajifunza wenzako wanafanyaje
Kuna wapangaji majeuri anaweza kukaa hivyo hivyo kibishi..!!
 
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodi[emoji2297][emoji2297] inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.

Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani[emoji1787]
Huyo akua na njaa

Wenye njaa tarehe ipo kichwani, kama mnaishi jirani ikifika tarehe anakukodolea like jicho la nilipe kodi yangu tarehe imefika
 
Huyo akua na njaa

Wenye njaa tarehe ipo kichwani, kama mnaishi jirani ikifika tarehe anakukodolea like jicho la nilipe kodi yangu tarehe imefika
Kwakweli hakuwa na njaa kabisa. Na ikitokea matengenezo yoyote anasema ni juu yake imagine!
 
Jitahidi kuwaelewa maisha magumu.
Mimi ndo wananionea mpangaji akishaanza kujieleza matatizo yake basi namwambia ukipata utaleta..!!
Ukiwa hurumia sana wanabadilisha hadi tarehe ya ulipaji ya mkataba.
Unatakiwa uwe na huruma ya ukali,ukimwambia kesho nataka kodi yangu hata akituma sms kuomba msamaha usijibu,ukiona siku mbili tatu kimya ujue ametingwa kweli,baada ya wiki unamrudia tena kwa ukali ule ule
 
😹😹😹 Aiseee mi siwezi..
Kuna mpangaji alikaa mwaka mzima hajalipa kodi na haonekani. Simu zake hazipatikani.

Siku amekuja kurudi napewa taarifa alikuwa migodini na kachafuka pesa. Nikajua atanitafuta anipe pesa zangu za kodi..!!

Huwezi amini alimaliza pesa zote kwa starehe na hajalipa kodi.. nilichofanya nilimtolea vitu vyake nikavijaza store..!! Kaka yake alikuja akavichukua hata mia mbovu sikuambulia..!! Nikasamehe 😥
 
Back
Top Bottom