Mlipe mtu ambaye yupo karibu na mazingira hayo ndiyo awe kama Manager ,awe anaenda kuangalia mazingira ya nyumba kama yanatunzwa vizuri au lah.
Wapangaji wakiona hakuna mwangalizi basi na wao wanakuwa active ,wakiona mwnye nyumba naye yupo busy siku unaweza kuja kukuta nyumba yako kama mapango ya torabora.