Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Alaaah,. nature eee,MC wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, nature yetu mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja..
Nimewasaidia wakulungwa kujibu
MC wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, nature yetu mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja..
Nimewasaidia wakulungwa kujibu
Nakaziafind new lover-no way out..
Necha ni ya mwanaumeAlaaah,. nature eee,
Kwahiyo mimi na wewe ndio hatuna nature??.woiii
Unadhani sisi hatubabaiki?Tatizo letu tunababaika sana na muonekano na wanawake wasasa ni mitihani yaani figa figale inye plus gedwe gwede ukimcheki nyoro inakuita,mtoto bambadi uso soft usio chunusi natural color chotara hakika HATUTOBOI akikatiza.
MC wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, nature yetu mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja..
Nimewasaidia wakulungwa kujibu
πππ Mi nadhani necha ni ya mwanamke labda kama hamsomi maandiko, nyoka si alianza na Eva lakini au ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ila siku hizi KE nao kama ME. Au nasema uongo ndugu zangu. πππ
πππ Mi nadhani necha ni ya mwanamke labda kama hamsomi maandiko, nyoka si alianza na Eva lakini au π
Kwamba ukimfumania unaishi tu?We ishi usitumie nguvu. Yaani mi naishi tu
Unadhani sisi hatubabaiki?
Wanaume wabinafsi sana
Nyoka wa kwenye bustani....ππ€£π€£π€£π€£π€£ nyoka huyu huyu nyoka au nyoka anayemezwa na mwenzie? ππππ
Hapana, hiyo ni another case. Ila kujishughulisha kum-impress mtu wakati yeye hajishughulishi kwako nimeshaacha.Kwamba ukimfumania unaishi tu?
Labda uwe umededi ila kama still unapumua kaa chonjo!π π πPole Sana kikombe hiki kiniepuke Mimi,
Hapo kuna mambo mawili ya kuzingatia. La kwanza ni la kiasili/kibaiolojia. Yaani vile unavyoona vidume wa jamii za viumbe wote wasivyoridhika na mwanamke mmoja hata kwa binadamu ni vile vile (promiscuous males vs coy females). La pili ni la kijamii/ kifamilia zaidi. Ndoa/familia/jamii zetu zingekuwa imara zaidi iwapo wanawake wangekubali kuona mbali zaidi ya usumbufu wa wanaume wa muda mfupi tena unaosababishwa tu na maumbile yao ya asili. Wanaume tukifika in our fifties na sexual libido zikapungua bila shaka tunaacha ukicheche wa ujanani. Ukiona tumefika in our fifties na bado tunasumbua sumbua basi hiyo ni very unfortunate.Mbona wake zenu wakiwacheat wakiomba msamaha na kusema ni utoto tuu au shetani aliwapitia kuwasamehe inakuwa ngumu..!?eti,
We ishi usitumie nguvu. Yaani mi naishi tu
ameshastate hapo mume amesha cheat twice.. simpleMoyo umekufa ganzi tu bila sababu au kuna mambo yamepelekea hilo.?
Weka wazi wataalamu, wakusaidie
Hapana niko poa kabisa sina stress hizo kwa sasa. Nimekuwa konky, sugu kabisaaa mwenye maamuzi magumu. Kiufupi if you don't care about me I do the same to you. Naishi kuendana na flow...situmii nguvuNawe yamekukuta? π³
lkn huu sio ushauri mzuri..Hapana niko poa kabisa sina stress hizo kwa sasa. Nimekuwa konky, sugu kabisaaa mwenye maamuzi magumu. Kiufupi if you don't care about me I do the same to you. Naishi kuendana na flow...situmii nguvu