Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Anaefurahia maumivu na kuleta mitizamo hasi kwenye maisha ya watu huyo ni shetani na inatakiwa apigwe mawe hadi kufa

Mioyo yetu ni miteke heri kuupumbaza nikapata furaha kuliko kukaza nikapata sonona,
Dah kwel umenichoka mtt mzuri😍😍😍
 
Pole sana dada ake angalia sana usije ukaipoteza ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe :mwanaume kama mtoto anaitaji abembelezwe ,asikilizwe na pia wewe jaribu kuwa mbunifu kwa mwenza wako bila kujari kitugani kitatokea mbadilishie mmeo ratiba ya kuhondomola akitoka kazini mpe ,anaenda kazini mpe akipumzika chumbani akisema najisikia vibaya mpe tu usipende kushika simu yake mbembeleze tu zaidi ya mwanako atajiuliza ma MBILI mwisho wa siku atakua wako peke yako mfano mkubwa dada zetu wa kiiislamu wanatambua sana majukumu yao ya ndoa KULIKO dada zetu wakristo sipo kwenye udini najalibu kuweka usawa fanya hayo utanikumbuka
Zamani sio sasa! Siwezi tena huu utumwa nishamfanyia sana na akatoka nje! Nimeshakua sugu aisee Wanaume mnaridhikaga basi!! Tabu tupu
 
Ndoa ina miaka mi 4 tuna mtoto mmoja, mwanzo nilikua nampenda ila kwasasa simfeel kabisa kutokana nahilo imebaki tu kama mzazi mwenzangu hata ile hali ya kumjali kama mume automatic inapotea kabisa na tunaishi pamoja dah!!

Duuh.. hizi ndoa sijui zimekumbwa na nini. Juzi kuna mdada alikua ananisimulia kesi yake ni kama hii hii yeye kashamchoka mumewe na ndoa ina mwaka mmoja tu! Nikasema hiiiiiii
 
Pole sana, mwenzio napata mawazo kuwa mumeo alikuonyesha hakupendi kabla hata haja cheat,alivyo cheat ikawa confirmation kuwa hakupendi kabisa. Mwili ukafunga. unlike men who can sex with anyone sisi wanawake ni watu wa hisia zaidi mostly tuna sex na mtu tulie form emotional bond. Sasa constantly being shown you are unwanted either direct or indirect breaks the bond and consequently intimacy. Jiulize if you still want this kind of relationship?? because the problem is not cheating,the problem is deep, is how you BOTH feel about each other...honestly jiulize mwenyewe kama huyo mume anakupenda.. which i believe he isn't ...otherwise he wouldnt have cheated, and second if you still want this relationship...Usiwaone wengi wanandoa wanapita huko nje ndani wanaishi maisha ya kimazoea..calculate uone if una sababu to stay labda watoto n.k ...... Again cheating is not a problem,most men cheat, but i guess his attitude towards it ndio inayokuchosha,haonyeshi kujali ama kujutia kitendo chake??? to this i simply advice you to call it a day!
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Jipe muda wa kupnya maumivu, with time everything will be fine
 
Weee unafanana na mke wangu,ila anajifanya hana hisia na mimi ,nikilala nje makelele,juzi nimelala club kawapigia simu wana ukoo wangu wote kuwaambia,ila yote Yeye ndo alianza dharau na kujiona mwamba kisa tuna ndoa na watoto,now tunaishi kibabe tu siku ziende
 
Acha ujuaji wewe, ukifumaniwa wewe uliefumaniwa ndio hisia zinaisha kwa mwenzio eboo! My man cheated on me hii mara ya pili nimekuta evidensi kabisa.
Avoid sharing this in public live with integrity and be religious. Ila kama una nadhiri ya kujipooza kila la heri
 
Pole sana, mwenzio napata mawazo kuwa mumeo alikuonyesha hakupendi kabla hata haja cheat,alivyo cheat ikawa confirmation kuwa hakupendi kabisa. Mwili ukafunga. unlike men who can sex with anyone sisi wanawake ni watu wa hisia zaidi mostly tuna sex na mtu tulie form emotional bond. Sasa constantly being shown you are unwanted either direct or indirect breaks the bond and consequently intimacy. Jiulize if you still want this kind of relationship?? because the problem is not cheating,the problem is deep, is how you BOTH feel about each other...honestly jiulize mwenyewe kama huyo mume anakupenda.. which i believe he isn't ...otherwise he wouldnt have cheated, and second if you still want this relationship...Usiwaone wengi wanandoa wanapita huko nje ndani wanaishi maisha ya kimazoea..calculate uone if una sababu to stay labda watoto n.k ...... Again cheating is not a problem,most men cheat, but i guess his attitude towards it ndio inayokuchosha,haonyeshi kujali ama kujutia kitendo chake??? to this i simply advice you to call it a day!
Ww hufai kumshauri mwenzako maana unamkoki kule wataka aende sijui from your own experience? Inaonyesha kama nawe ni victims wa mapenzi! Lakini lazima uelewe ndoa siyo boyfriend-girlfriend relationship 🤔! Usiongelee na kutoa 'casual' ushauri kama huo utoao!? Na nyie wanandoa mnaoingia kwenye ndoa kivulana na kisichana kabla hamjawa wanaume -wanawake mjitathmini! Kabla hujasema ndio hakikisheni mnaolewa na mwanamume siyo kisa ana bringbring...handsome, 6pac bila kujali uvulana wake na kuwaacha wanaume! Na wanaume halikadharika msikimbilie sijue chura, pisi kali wakati ni kisichana bado! Vinginevyo kama umevuruga kwenye uchaguzi wewe ishi kwa matumaini na kivulana chako au kisichana chako ukimuomba mungu aongeze spidi ya hicho kituko chako kifikie uanaume au uwanamke😜!
Jf siyo mahala sahihi kupata ushauri wa ndoa ww kisichana azial, wafuate wasimamizi wa ndoa yenu kama napo hamkuchakachua kuweka visimamizi uchwara😜! Kaa chini na mumeo ufunguke yote uliyoeleza hapa na mpange mikakati ya maksudi kunusuru ndoa yenu🤔! Kumbuka, hiyo ni ndoa yenu wawili, na thamani yake ni ninyi ndio mnaoijua...wengine wote tunazo zetu na siyo lazima sana tujari ndoa yenu...haitupi shida saana kama mtatengana wakati sisi tukishangilia jubilei ya ndoa zetu! Kuwa mwanamke, mlee huyo mvulana wako mpaka atakapokuwa mwanaume si ndie ulimchagua mwenyewe😡!? Usitegemee sana kupata ushauri wa kujenga ndoa yako humu zaidi ya kukusukumiza kuichakachua zaidi ndoa yako😡!
Mshirikishe Mwanzilishi wa ndoa, Mungu Mwenyewe na kuwa na subira na kivulana chako hicho hata kama kitaendelea kuwa kivulana hata uzee🤔! Ndio hata uzee🤔!
 
Ww hufai kumshauri mwenzako maana unamkoki kule wataka aende sijui from your own experience? Inaonyesha kama nawe ni victims wa mapenzi! Lakini lazima uelewe ndoa siyo boyfriend-girlfriend relationship 🤔! Usiongelee na kutoa 'casual' ushauri kama huo utoao!? Na nyie wanandoa mnaoingia kwenye ndoa kivulana na kisichana kabla hamjawa wanaume -wanawake mjitathmini! Kabla hujasema ndio hakikisheni mnaolewa na mwanamume siyo kisa ana bringbring...handsome, 6pac bila kujali uvulana wake na kuwaacha wanaume! Na wanaume halikadharika msikimbilie sijue chura, pisi kali wakati ni kisichana bado! Vinginevyo kama umevuruga kwenye uchaguzi wa ishi kwa matumaini na kivulana chako au kisichana chako ukimuomba mungu aongeze spidi ya hicho kituko chako kifikie uanaume au uwanamke😜!
Jf siyo mahala sahihi kupata ushauri wa ndoa ww kisichana azial, wafuate wasimamizi wa ndoa yenu kama napo hamkuchakachua kuweka visimamizi uchwara😜! Kaa chini na mumeo ufunguke yote uliyoeleza hapa na mpange mikakati ya maksudi kunusuru ndoa yenu🤔! Kumbuka, hiyo ni ndoa yenu wawili, na thamani yake ni ninyi ndio mnaoijua...wengine wote tunazo zetu na siyo lazima sana tujari ndoa yenu...haitupi shida saana kama mtatengana wakati sisi tukishangilia jubilei ya ndoa zetu! Kuwa mwanamke, mlee huyo mvulana wako mpaka atakapokuwa mwanaume si ndie ulimchagua mwenyewe😡!? Usitegemee sana kupata ushauri wa kujenga ndoa yaki humu zaidi ya kukusukumiza kuichakachua zaidi ndoa yako😡!
Mshirikishe Mwanzilishi wa ndoa, Mungu Mwenyewe na kuwa na subira na kivulana chako hicho hata kama nitaendelea kuwa kivulana hata uzee🤔! Ndio hata uzee🤔!

mnhhhhhh... Eti JF sio mahali sahihi pa kupata ushauri mbona na wewe umetoa ushauri?? ungepita tu bila kuniquote,maana sijaona sababu ya wewe kufanya hivyo!
 
Muda gani sasa hajakunyandua!?
Zamani sio sasa! Siwezi tena huu utumwa nishamfanyia sana na akatoka nje! Nimeshakua sugu aisee Wanaume mnaridhikaga basi!! Tabu tupu
 
mnhhhhhh... Eti JF sio mahali sahihi pa kupata ushauri mbona na wewe umetoa ushauri?? ungepita tu bila kuniquote,maana sijaona sababu ya wewe kufanya hivyo!
Umenikela ulivyokuwa unam'lead' mwenzio shimoni...hapo tu sihitaji ligi samahani🙏!
 
Kuna muda unazoea maudhi yake anatoka moyoni aende, arudi, acheat, asicheat, atajua mwenyewe....ndoa inabaki mnaishi ilimradi tu mnaishi nyumba moja maana ile chuki anayokuwekea moyoni haitoki.......
Ni kweli. Na dawa yake ni kumuacha kama alivyo, humuulizi kuhusu upuuzi wake na usionyeshe kusononeka/kulialia maana wanaume wengi wanapenda kuona mke akilialia na ndo wanazidisha.
Unaendelea tu na mambo yako , humchukulii uzito wowote, hugombani nae...
Mwanaume anayekupenda atachange maana atajiuliza huyu mwanamke ana plan gani.
Ila Kama huwezi yote hayo sepa tu jamani...mahusiano bila mapenzi sikai zaidi ya mwezi.
 
Hapana sijawahi mcheat na kati ya vitu ninavyojivunia na vilivyokamatisha kwake n ni unyumbaa aisee anajua kunivuruga kunako 6 kwa 6 na kati ya vitu nitavomis kwake ni mitii ila sijali tena hilo nikama nimepararaizi kihisia
Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.
Pic_1624336172469.jpg
Pic_1624336218507.jpg
 
Shida uzungu mwingi wakati wewe ni ngozi nyeusi..kiasili hata bibi zako wanajua mwanaume sio wa mke mmoja..geuza mawazo yako kwa rudia uafrika utaishi kwa raha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
na wewe cheat, maisha mafupi sana, wewe unakaza kwa vijana huko maofisini yeye anakula ma baa medi, jino kwa jino.
 
Back
Top Bottom