Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135
Ndio maana huwa inaniwia vigumu kuhukumu story za upande mmoja......kila mmoja ana play victim..........

UNAFIKI NA UBINAFSI NDIO KANSA INAYOZITAFUNA NDOA NYINGI ZA WAKATI HUU.....
 
Weee unafanana na mke wangu,ila anajifanya hana hisia na mimi ,nikilala nje makelele,juzi nimelala club kawapigia simu wana ukoo wangu wote kuwaambia,ila yote Yeye ndo alianza dharau na kujiona mwamba kisa tuna ndoa na watoto,now tunaishi kibabe tu siku ziende
Yani mulemule! Huyu mwenzio nae nikiwepo huwa haendi club ila juzi nimetoka kidogo yeesu alioa club mate wakitoka club wanakuja kuishi nyumbani yani akawa kama mke wake hadi watu wakadhani kuwa tumeachana nakuja kila mtu ananishangaa, amenikosea sana kwakweli
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Mna kawaida ya kuongea?

liongelee

kwanini limetokea,how u feel,how he feels,way forward nk
 
Mna kawaida ya kuongea?

liongelee

kwanini limetokea,how u feel,how he feels,way forward nk
Ndio nimeongea nae kuonesha jinsi gani nimeumia! Mwanzo nilikaa kimya mpaka mwenyewe aliponiuliza kuwa "mbona sikuhizi umebadilika sana seems like hunipendi tena " ndio nikamkumbusha mambo yake maovu ambayo yalikuwa moyoni mwangu
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!
Anakucheat unamsamehe alafu unaendelea kuwa mwaminifu?
Ndio maana umepoteza hisia, hapo ningekuwa mimi ningelipiza, tena kwa fujo. Anadhani yeye ndio ana haki ya kubadilisha ladha tu?
 
Mkuu pole sana lakin naomba nikwambie kama mume wako hajapunguza upendo na huduma kwa familia mshukuru Mungu.Kwa uzoefu wangu wa miaka tisa ya ndoa ni kwamba mwanaume akichepuka haimaanishi kua kakuchoka au hakupendi tena.Wewe ndo mke halali na hata mbingu zinajua,ni kweli kwa alichokifanya kinaumiza moyo lakin usimpe shetan nafasi ya kuendelea kuizorotesha au kuiangamiza ndoa yako.Umewazid wanawake wote ndo mana alikuoa wewe, possibly wewe sio wa kwanza kwake,aliona wengi wazuri tu ila alikuchagua wewe uambatane nae ktk safari ya maisha ya ndoa.

Hivyo basi hebu ongeza upendo kwa mume wako,yan ongeza had ajishtukie then sali sana ili uendelee kua na furaha nae hata muwapo faragha.Kuna mambo ukiacha kumfanyia atafanyiwa na wengn na utazidi kumpoteza,akikutana na mchepuko wa kumpa limbwata usishangae akahama hata nyumbani.Ndoa inaliliwa na wengi hivyo basi itunze ndoa yako zaidii ya unavyoitunza Sasa.

Mpende sana yan mpende adi abaki na maswali moyoni.Nachojua wanaume wana tamaa tu sio kwamba hakupendi.. YULE NI MCHEPUKO NA WEWE UTABAKI KUA MKE.ALIKUHESHIMISHA.

Wanaume tamaa zao ziko machon na ndivyo walivyoumbwa..na kuchepuka kwao ni hulka tu.PIA UJICHUNGUZE KAMA PIA WEWE NI SABABU YA YEYE KUCHEPUKA UBADILIKE.WAKATI MWINGNE SISI WENYEWE NDO HUA TUNAKUA CHANZO.

WEWE NDO MKE.MPENDE SANA KAMA ULIVYOAPA SIKU YA NDOA PIA UWE UNAOMBEA SANA NDOA YAKO.MUNGU ANAWEZA KUMBADILISHA SIKU YOYOTE USIYOIJUA ILA USITUMIE NGUVU NA AKILI ZAKO KUMBADILISHA.UTAJIKUTA UNAUMIA NA KULIA KILA SIKU
 
Anakucheat unamsamehe alafu unaendelea kuwa mwaminifu?
Ndio maana umepoteza hisia, hapo ningekuwa mimi ningelipiza, tena kwa fujo. Anadhani yeye ndio ana haki ya kubadilisha ladha tu?
Ndio mamy ndiomana hata amani ya ndoa sina kabisa,, mpaka kuna muda nawazaga aargh si namimi niwapee tu wanaonipenda ila nafsi inanisuta kabisa naamua kutulizana
 
Bibie mumeo ashajua unae huyu mchepuko ndipo tatizo limeanzia hapo. Jitahidi uamue moja Kati ya mume na huyo mchepuko ili uwe na amani ya moyo.wakati mwingine story ya upande mmoja ni tamu Sana pole bibie.View attachment 1826134View attachment 1826135

Sasa analalamika nini? Na mpaka anajinadi huku ana mchepuko na wanapendana! Kweli usihukumu upande mmoja kamwe!
 
Ndio mamy ndiomana hata amani ya ndoa sina kabisa,, mpaka kuna muda nawazaga aargh si namimi niwapee tu wanaonipenda ila nafsi inanisuta kabisa naamua kutulizana
Hakuna anaekupenda zaidi ya huyo mmeo ndo maana kafunga ndoa na wewe na kupata watoto ,ukijifanya kugawa nje eti kwa wanaokupenda utagongwa mpaka K itaota sugu,hao unaohisi wanakupenda nao wana watu wao wanaowapenda so utaishia kugongwa tu,mpende mmeo na angalia unakosea wapi hadi akufanyie anavyofanya
 
Kuna muda unazoea maudhi yake anatoka moyoni aende, arudi, acheat, asicheat, atajua mwenyewe....ndoa inabaki mnaishi ilimradi tu mnaishi nyumba moja maana ile chuki anayokuwekea moyoni haitoki.......
Kabisa Yani saivi tunaishi ilimradi tu, hata katika tendo ni kutamani mtu amalize tu atoke kunichosha mie sisisimki hata
 
Zamani sio sasa! Siwezi tena huu utumwa nishamfanyia sana na akatoka nje! Nimeshakua sugu aisee Wanaume mnaridhikaga basi!! Tabu tupu
Hakuna mwanaume asiyecheat.....trust me, hiyo inaongeza hamu kwa mkeo, hatupendi na hatuna hisia kwa michepuko. It just for fun.

Tulia uendelee na maisha. Ila nakushauri usijaribu kulipiza kisasi' itakuaribia maisha. Utakuja kuwa single mother kama mipashukuna mingi humu inayoshauri hovyo.

Angalia sababu, inaweza kuwa una mdomo mchafu,kauli za maudhi,unaonyesha interest kwa mwanaume mwingine,dharau,kiburi,haujishughulishi kitandani n.k

We can cheat and yet love our wives,but we do not tolerate any kind of cheating/infidelity
 
MC wanaume tulivoumbwa ni tofauti na nyie wanawake, nature yetu mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja..

Nimewasaidia wakulungwa kujibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

It doesn't make sense for us either but we just say the words
 
Back
Top Bottom