Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Once a cheater,always a cheater.Mna mahusiano ya muda gani?mna watoto?je bado unampenda?kuwa makini asije kukuletea maradhi tu!
Ndoa ina miaka mi 4 tuna mtoto mmoja, mwanzo nilikua nampenda ila kwasasa simfeel kabisa kutokana nahilo imebaki tu kama mzazi mwenzangu hata ile hali ya kumjali kama mume automatic inapotea kabisa na tunaishi pamoja dah!!
 
Ni kawaida kwamba humjali ni kwasababu anakuumiza na hajali hisia zako na bado anaendelea kukuumiza.Wewe binaadamu mwenye moyo wa nyama kama yeye.

Madhali mna mtoto focus na kulea mtoto kama ni mtu ambae unaweza kujitegemea jitegemee kwa sasa mpaka atakapojirekebisha.

Epuka kukutana nae kimwili kwasababu magonjwa ni mengi mtoto asije kukosa wazazi wote wawili.Hizo cheating mbili ni unazozijua wewe siajabu ameshacheat sana tu na ana wanawake wengi ambao huwajui.

Put yourself and your child first.

Best of luck.
 
Jitengenezee furaha yako mwenyewe kwa njia yeyote ile haijalishi walimwengu wanamtazamo gani.Usishughulike na huyo jamaa,hatuna undugu nao ivo kutuumiza kwao kawaida
 
Ndoa ina miaka mi 4 tuna mtoto mmoja, mwanzo nilikua nampenda ila kwasasa simfeel kabisa kutokana nahilo imebaki tu kama mzazi mwenzangu hata ile hali ya kumjali kama mume automatic inapotea kabisa na tunaishi pamoja dah!!
Sijui chochote kuhusu ndoa ila usimuache wanaume wengi ni wasaliti, hujui nani sio na nani ndio. Pili una mtoto tiyari, nadhani nyuzi za hapa jukwaani unaziona hakuna atakayeamini yalikushinda wote watajua ulikosea wewe.

Kwani hatunzi familia, analala nje, anakufokea hakujali tena, hajutii wala kuwa guilty na matendo yake, hakuthamini tena? Cheating sio kwamba hakupendi, asingekupenda angefanya yote niliyouliza hapo. Kutoka nje ni wendawazimu wake ila moyo na amani iko kwa familia yake naamini hivo. Mrudishe kwenye himaya yako
 
Polee katika mahusiano yenu hukuwahi kumcheat? Au hata kuna na vudalili vya kucheat amabavo pengine aliweka kinyongo.

Vipi kuhusu huduma ya kindoa hukuwahi mkatalia pengine sababu ya uchovu then mwenzio akachukia ?.
Hapana sijawahi mcheat na kati ya vitu ninavyojivunia na vilivyokamatisha kwake n ni unyumbaa aisee anajua kunivuruga kunako 6 kwa 6 na kati ya vitu nitavomis kwake ni mitii ila sijali tena hilo nikama nimepararaizi kihisia
 
Sijui chochote kuhusu ndoa ila usimuache wanaume wengi ni wasaliti, hujui nani sio na nani ndio. Pili una mtoto tiyari, nadhani nyuzi za hapa jukwaani unaziona hakuna atakayeamini yalikushinda wote watajua ulikosea wewe.

Kwani hatunzi familia, analala nje, anakufokea hakujali tena, hajutii wala kuwa guilty na matendo yake, hakuthamini tena? Cheating sio kwamba hakupendi, asingekupenda angefanya yote niliyouliza hapo. Kutoka nje ni wendawazimu wake ila moyo na amani iko kwa familia yake naamini hivo. Mrudishe kwenye himaya yako
 
Pole sijui hata nikushaurije maana maumivu ya kuchetiwa mmh, ila msamehe tu maisha yaendelee ila naye basi ajitahidi kuwa mstaarabu na ikiwezekana asikuoneshe macheatings yake
 
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
Huenda anakucheat sababu humpi ushirikiano muwapo faragha. Samehe na timiza wajibu wako kwa mwenzio.
 
😂😂😂😂😂😂 nilikuwa sijui kama Extrovert ni shetani 🤣🤣🤣🤣
Anaefurahia maumivu na kuleta mitizamo hasi kwenye maisha ya watu huyo ni shetani na inatakiwa apigwe mawe hadi kufa

Mioyo yetu ni miteke heri kuupumbaza nikapata furaha kuliko kukaza nikapata sonona,
 
Back
Top Bottom