Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Pole sana. Hata ambao hatuna cheating ktk ndoa zetu tuna matatizo ya kupoa. Uchumba na ndoa kwa kawaida ni vitu tofauti sana. Mmh... Lakini hiyo ya ku-cheat ni level nyingine! Nikigundua mke ameni-cheat hivi naweza kuwa na nguvu tena za kiume tena kwake? Lakini nyie akina mama hamhitaji nguvu. Mko tayari wakati wote.
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha?? Mume wangu alinicheat nikamsamehe amecheat tena nasasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia nae tenaa!!