Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Arudi nyumbani muda anaotaka!!????

We jamaa ni mwanaume kweli!!
Unampoteza Dada wa watu.
 
Polee katika mahusiano yenu hukuwahi kumcheat? Au hata kuna na vudalili vya kucheat amabavo pengine aliweka kinyongo.

Vipi kuhusu huduma ya kindoa hukuwahi mkatalia pengine sababu ya uchovu then mwenzio akachukia ?.
Huyu demu kuna kipindi alikuwa na mchepuko ex wake! What i prolly think either alikanywa kisha alianza kumletea drama mumewe kama mjuavyo ma ex walivyo vyanzo vya migogoro...Jamaa aka scoot akaona sasa aanze kumpiga matukio rasmi maana mke unamwambia aachane na mambo ya kijinga hasikii!

Huenda ex wake washakubaliana waachane ila huku mume gari ishawaka sasa! Sahizi anatamani mume aoneshe care ila hilo halipo
 
Alihangaika😂😂😂
 
Na kuna wakati unakaa unajiuliza maswali hupati jibu, hivi inakuwaje mwanamke hacheat lakini kila ukiomba kutiana nae anakupa sababu ili tu usimfanye?
Unanuka mdomo, unakuna kama beberu, husafishi maskio, hutumii hata lotion, pafyum, , in short huna mvuto, lazma arke na watorto wa mjini wanaopaka scrub, etc
 
Jesus unamjua nini?? nikweli anatoka na muuza baa aisee! dada akitoka kazini wanahamia club hadi asubuhi wanakuja nyumbani, nilikua nimetoka kikazi
Ndiyo hivyoo, Maisha haya mafupi sana, na wewe chapa nje
 
Kabisa Yani saivi tunaishi ilimradi tu, hata katika tendo ni kutamani mtu amalize tu atoke kunichosha mie sisisimki hata
Yaan wanaume wengine hata uishi nao vipi jamani umalaya ni hulka na asilimia 98 ya wanaume wana mwanamke zaidi ya mmoja, mwanamke kama hujazoea kuwa na wengi inatesa sana moyoni, anajikuta amekuwekea chuki ambayo haiishi, Kuna wakati huwa nawaza ivi mwenzangu ikitokea hata akatangulia mi nikiwa mzima ntapata hata chozi kweli🤣🤣🤣🤣🤣
 
Arudi nyumbani muda anaotaka!!????

We jamaa ni mwanaume kweli!!
Unampoteza Dada wa watu.
Nampoteza wapi sasa mwanaume amuheshimu nini unataka afanye dawa ya moto ni moto isilotaka fanyiwa ww usije ukamfanyia mwenzako uyo jamaa kamumiza uyo mwanamke dawa ya yy kupona majeraha yake ni kuwa kiburi tuuu mwisho wa siku jamaa atakaa sawa tuu ila akimchekea uyo jamaa atamuumiza sana kwa mawazo na anaweza akafa kabla ya muda wake...
 
Kumbe dah yani uupuzi kaanza mwenyewe kumbe bac acha aumie tu...
 
Gari likishawaka hyoo imetoka hyo na mm hua Nina principle moja nikikukanya Mara tatu husikii ndo Basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…